Mimi ni mwanaume nilibahatika kupata mtoto wa kiume nje ya ndoa.
Sasa miaka 10 baadae nimeoa na nimemchukua huyu mtoto wangu naishi naye.
Sasa mke wangu ameniwekea masharti ambayo nafikiri ni...
Habari zenu wakuu,
Naamini mko poa kabisa na mnaendelea na mishe kama kawaida.
Sasa katika kipindi ambacho nimekuwa mpweke akatokea mkaka mmoja kiukweli nimefahamiana nae humu humu Jf,
tukawa...
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa mtu/watu wanapopata safari za kikazi au kupumzika wengi hushikwa na hamu ya kuchepuka iwe ni mwanamke/mwanaume.
Mifano ya haraka ni watu wanapoenda kwenye semina...
Michepuko ni kitu kibaya. Pamoja na kukemiwa na serikali, NGO, makanisani na misikitini bado michepuko imazidi kushika kasi. Kuna aina mbili za michepuko ya kwanza ni hit and run.
Katika hii...
Habari wanajamvi,
Kama masaa mawili yaliyo kulikuwa na timbwili kati ya mshikaji mmoja na mkewe. Mshikaji wangu kitambo tulijuana katika harakati za kutafuta maisha, katika harakati za pale...
Nina miaka 28, Mnyakyusa, mrefu wastani nata msichana awe Msukuma. Maji ya kunde, mcha Mungu na awe na heshima na adabu na umri 25 kushuka.
Aliye tayari ani PM na nitamjibu
Kuna jambo limenikera leo limenifanya niwaze hili nitakalolisema hapa.
Kuna rafiki wa mke wangu, kwa maana wametoka sehemu moja. Sasa huyu dada amepangiwa kazi mkoa huu, lakini mbali kidogo...
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana kama mwenzi mmoja hivi umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na...
Hii thread ni maalum kwa wanandoa wanaume kutoa hapa siri ambazo hawatakaa wawaeleze wandani wao hadi wanakufa.
Ni siri gani ambayo hutakaa umweleze mkeo?.
Amani iwe nawe mwana wa Mungu. Nichukue nafasi hii kukushukuru wewe ambaye umefanyika kuwa baraka kwetu katika kuineza injili pamoja nasi.
Mungu aliye hai awabariki nyote ambao mnajitoa kwa...
Hi,
Iam a mother of 2kids, usiku mmoja mtoto wetu mchanga alilia sana 4 2hrs, ajabu babae kaangalia 2, nikamuuliza kwanini hana huruma kiasi hicho? Mwanae analia hajali anamaanisha nini? hadi...
Mimi ni mwanaume rijali natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo, asiwe amewahi kuolewa, asitumie kilevi chochote, asiwe na mtoto, umri wake 20-32, mvumlivu na mpole.
Elimu shahada ya kwanza...
Mimi ni mpangaji katika nyumba ya wapangaji wawili, mnaita Apatment mpangaji mwenzangu ameoa lakini shughuri zake ni za kusafiri safiri ni mtu poa tu tunaishi kama tunajuana miaka 10 iliyopita...
Habari ya mchana wapenzi wa MMU,
Natafuta rafiki wa like awe ana miaka 25 na kuendelea awe anaishi Dar mimi nipo Dar. Mimi mkristo.
Mengine aje pm
Asanteni na karibuni
Habarini wakuu,
Natafuta mke wa kuoa anaeishi Kibaha atapewa kipaumbele, umri wangu ni miaka28 nipo siingle sijaoa, mke ni mtakae awe mweupe, elimu kidato cha sita na kuendelea, asiwe na mtoto...
Please wanajamii wenzangu,
Mpenzi wangu ana vituko vingi sana, nimejaribu kumvumilia lakini nimefikia hatua nimechoka. Naomba mnishauri ili nimsahau kabisa akilini mwangu, maana nampenda sana...
Ni pale unapodhani msichana uliyenaye umemnasa na superglue, hapindui kwako kabisa, unajidai umemuweka kwenye chupa na kwako ni mtakuja Primary school, unamsumbua unavyotaka, stress ni part ya...
Wana MMU salaam,
Huyu kijana ni mjasiriamali wa siku nyingi. Ni kijana fighters sana kwenye maisha, amejijenga vizuri sana, kwa maana ya kuwa na mahali pa kuishi na kausafiri lakini hajaoa.! Ana...
Nina mwanamke nimedumu naye miaka miwili lakini tatizo ni kwamba simpendi tena, kwakweli binti anatabia nzuri mkarimu na anajua kujishusha. Mimi mwenywe sijawahi kicheat lakini nimekuja kujigundua...
Jana kwenye Hekaheka ilikuwa ishu ya mwanamke mmoja ambae alipata ujauzito wa mwanaume mwingine wakati mume wake ambae ni mwanajeshi akiwa nje ya nchi kikazi.Ishu ilifika Hospitali ya Mwananyamala...