Kwa wadada walioolewa tu: Aina ipi ya mchepuko ni bora?

Kwa wadada walioolewa tu: Aina ipi ya mchepuko ni bora?

iMind

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,209
Reaction score
5,447
Michepuko ni kitu kibaya. Pamoja na kukemiwa na serikali, NGO, makanisani na misikitini bado michepuko imazidi kushika kasi. Kuna aina mbili za michepuko ya kwanza ni hit and run.

Katika hii aina mumeo anakuwa anabadilisha wanawake frequently.Yaani anapiga kidogo then anasepa anatafuta mwingine. Aina ya pili ni hit and keep a.k.a nyumba ndogo.

Katika aina hii mwanaume anakuwa na mwanamke wa nje mmoja kwa mida mrefu huku akighalamia maisha yake ya kila siku hapa mjini. Ningependa kusikia mtazamo wa wake zetu nyie kuhusu hizi aina mbili. Assuming kwamba mchepuko hauepukiki.

Je, ni afadhali mume wako atumie aina gani?
 
Mmh ingawa sijaolewa ila Hapo hakuna nafuu wala afadhali. Mchepuko Ni Mchepuko tu, na safari moja huanzisha nyingine
 
Na takwimu 'zisizo rasmi' zinaonyesha kuwa idadi ya concubines inaongezeka kwa kasi. How do you feel to be someone's concubine?
 
Na takwimu 'zisizo rasmi' zinaonyesha kuwa idadi ya concubines inaongezeka kwa kasi. How do you feel to be someone's concubine?
"you simply feel like you are not worth being the main chick". Your man is not so proud to show you off to the world.... Like hey "this is my darling wife, my one and only"
 
Bora achepuke na mchepuko wa hit and run ila atumie kondomu tu baas!nyumba ndogo ni hatari zaidi
 
Naanza kupata picha kwa nini wazee wetu miaka hiyooooo walikuwa wanaoa mke zaidi ya mmoja kihalali na kukaa nao pamoja kwa makabila takribani yote!
 
Tatizo kuu la mchepuko n kuoa bila kuweka upendo as the one and only priority... mtu anaoa coz of finding better future fo his kids so obviously mchepuko lzma.... kaaz kwel kwel
 
Kama kweli unampenda bora uchepuke na wife wako tu, Kama Mimi ninavyofanyaga nikimisi kuchepuka nabadili line nampigia wife tuonane hotel fulani tunayamaliza huko kila mtu anarudi nyumbani kimpango wake
 
"you simply feel like you are not worth being the main chick". Your man is not so proud to show you off to the world.... Like hey "this is my darling wife, my one and only"
Mume wake anaweza kuwa one those ambao wanaonyesha to be so proud with you. Kwenye facebook na everywhere picha zako zinawekwa. Kwenye mitoko mbalimbali ya kiofisi na kishkaji mko pamoja na na ku introduce very proudly but still anachepuka
 
Back
Top Bottom