Live bila chenga inawahusu

  • Thread starter masanjamkandamizaji
  • Start date

masanjamkandamizaji

masanjamkandamizaji

Senior Member
Joined
Oct 30, 2014
Messages
171
Points
195
masanjamkandamizaji

masanjamkandamizaji

Senior Member
Joined Oct 30, 2014
171 195
Ni pale unapodhani msichana uliyenaye umemnasa na superglue, hapindui kwako kabisa, unajidai umemuweka kwenye chupa na kwako ni mtakuja Primary school, unamsumbua unavyotaka, stress ni part ya maisha yake, kisa tu unajua amekupenda na hawezi kukuacha basi umemtafutia kijikosa uchwara tu ili umpe jamba-jamba ilimradi tu upruvu uanaume wako, basi umemnunia mtoto wa watu wiki nzima, anakupigia simu, anajishusha kuomba msamaha, umeuchuna tu na madai yako mara ghafla anaacha kukutafuta.

Unaona ameposti Facebook status,"Thank God i found you,maumivu basi tena" ukadhani utani mara kaposti INSTAGRAM picture na caption,"sikuwahi kujua how Love feels until I met you,its only one week but it feels like a year, Love you boo# Ukaamua kumtafuta next day kumfuata kwake jioni,unamkuta anashushwa na new BOO wametoka shopping halafu limepigwa busu refu kuliko hasheem thabit,lazima jicho likutoke utajihisi umezeeka ghafla na sura yako kama Wimbi la uji wa choroko ukipendwa shikamana, huwezijua kuna mchepuko unaomba kuwa njia kuu mwaka wa 5 huu, ukimess up tu unariplesiwa ghafla, we umetania yeye kafanya kweli.

Umemwaga ugali na yeye kabidua bakuli la mboga wanaume shikamoo haaha # Most Girls wanaumia kweny mapenzi kwa sababu they always look for handsome guys wa kudate nao, kuzaa nao na hata kuolewa nao. Mnadhani maisha yanaishia kwenye Album za picha za harusi jinsi mlivyopendeza,a u frame za picha za Photopoint mlizopiga kwa pamoja jinsi zilivyotokelezea na wengine wanawaza kwamba watoto atakaozaa lazima azae na mtu flani good looking

Ili mtoto asitoke na sura la mjomba bad news ni kwamba, most of handsome guys are not handsome in the heart, kwa nje wanaonekana wazuri na wanatamanisha kama Diamond, lakini hawana mioyo mizuri kukupenda wewe as you are kwa nje wanatamanisha kama Diamond lakini ndani ni madini ya Ulanga,cthamani tofauti watch Out and the vice versa is true, wanawake wazuri karibu wote vimeo, sijui why!

By masanja wa .com��
 
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Messages
16,843
Points
2,000
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2014
16,843 2,000
Jinsia yako pls mtoa mada
hapa umeandika kama demu wangu wa uwanja wa fisi
 
SaaMbovu

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
4,138
Points
2,000
SaaMbovu

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
4,138 2,000
Poa mwanawani umesomeka
 
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Messages
12,177
Points
2,000
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined May 28, 2009
12,177 2,000
Bro lkn ujue kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport......
Mwenye hela hana mapenzi na mwenye mapenzi hana hela. Ndio maana wanawake wengi wanaamini kwenye msemo wa mafiga matatu. Kila mwanaume wapo nae kwa lengo tofauti na mwingine
 

Forum statistics

Threads 1,283,912
Members 493,869
Posts 30,805,854
Top