Hebu tumsaidie huyu kijana

Hebu tumsaidie huyu kijana

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2,204
Reaction score
3,339
Wana MMU salaam,

Huyu kijana ni mjasiriamali wa siku nyingi. Ni kijana fighters sana kwenye maisha, amejijenga vizuri sana, kwa maana ya kuwa na mahali pa kuishi na kausafiri lakini hajaoa.! Ana mchumbaake ambae anaonyesha kampenda sana, kwa maelezo yake anadai hadi sasa wana kama miezi mitatu wakiwa kwenye uchumba.

Kijana analalamika kuwa, kipindi chote hicho cha miezi 3, hajapewa lile tunda la katikati! Kilichomstua kwa maelezo yake, binti anadai hawezi kumvulia nguo kwa muda huu mfupi sana walionao kwenye uchumba. Tatizo lipo kwenye huduma, kijana anadai anamhudumia binti kila kitu, pamoja na kumjali kwa kila kitu, lakini ili kumfanya awe salama zaidi, ameamua kuwa anampa mshahara wa laki mbili na nusu kila ikifika tar. 25 ya kila mwezi.

Binti anafanyakazi katika Duka moja la kuuza vipodozi hapa. Ndo amekuja kuniomba ushauri kama amvumilie au aachane nae kuepuka hizo gharama? Mimi nimemshauri kifupi sana, amwambie na yeye anasitisha huduma mpaka hapo watakapomaliza kuchunguzana na kukubaliana. Hakuna haki bila wajibu hapa Duniani. Lakini namuona kijana kama anaogopa kuchukua ushauri wangu.

Hebu nisaidieni cha kumshauri! Najua hapa hakiharibiki kitu

Nawasilisha
 
Huyo jamaa na yeye amefanya haraka, kuhonga hela zote hizo, Pengine akiombwa na wazazi hela anasema hana ,apunguze gharama za kuhudumia maisha yenyewe magumu, kuhusu huyo mdada, maybe huyo dada hajampenda kiivyo,asije akasubiri yeye, mlaji akawa mwengine
 
Huyu dogo anataka kuoa,na yupo serious sana. Kufanya hayo yote ni kutokana na fikra kwamba anatimiza wajibu wake kwa mpnz wake,kitu ambacho hata mm sioni km ni tatizo. Tatizo huyu mdada hata me sijaelewa anakusudia nn,maana km anahudumiwa kila kitu,wajibu wake yeye kabla hawajaoana ni kutoa hiyo kitu. Lkn hataki kwa kisingizio cha bado mapema huku hela anapokea.
 
Wamekaa kwenye uchumba miezi mitatu! jamaa anampa kila mwezi laki mbili na nusu! kwa hiyo ndani ya hyo miezi mitatu ameshampa demu Laki saba na nusu? Hapo nitakuwa mngumu kuelewa labla ukute huyo jamaa ni mtoto wa kigogo na mbunge wa bunge la katiba na kwenye scandal ya Escro alihusika! tofauti na hapo story ni ya kutunga!
 
Hicho ndicho kitu ambacho sikifikiriagi katika maisha yangu, siwezi kumhonga mtu hela zote izo subili atakuja kumwambia nilikuwa napenda kiusafir chako sasa hiv kamechoka!!! ,labda kazidisha kutumia hela isizidi elf 5 kwangu
 
Wamekaa kwenye uchumba miezi mitatu! jamaa anampa kila mwezi laki mbili na nusu! kwa hiyo ndani ya hyo miezi mitatu ameshampa demu Laki saba na nusu? Hapo nitakuwa mngumu kuelewa labla ukute huyo jamaa ni mtoto wa kigogo na mbunge wa bunge la katiba na kwenye scandal ya Escro alihusika! tofauti na hapo story ni ya kutunga!

Mkuu Jambazi hapo nilipoweka nyekundu ameanza kumpa mwezi uliopita. Km ataendelea,huu utakuwa mwezi wa 2. Wala siyo mtoto wa kigogo ni mjasiriamali tu anayetoka familia masikini kabisaa!!
 
Mwambie huyo mvulana aache zinaa, huyo msichana yupo sahihi.

kukutana kimwili inaruhusiwa baada ya ndoa.
Mkuu Kitulo unachosema ni sawa,lkn ili huo utaratibu uwe km unavyoshauri,inabidi binti akutwe bikira jambo ambalo kwa huyu halipo inavyoonekana!
 
Last edited by a moderator:
Hizo hela si awatumie wazazi wake wanateseka huko kijijini.
 
Hizo hela si awatumie wazazi wake wanateseka huko kijijini.

Kwanini umefikiria wazazi wake wako kijijini na wanateseka? Labda wana uwezo mzuri tu wa kum-support hata yeye mwenyewe pamoja na kuwa anafanya kazi.
 
Jamaa kaanza kujipa majuku mapema mno, na kwa hali ilivyosasahivi huyo msichana angeshaachia mapema. Ukiingia na gia ya kujidai husband material, utaishia kutambulishwa tu kwa watu wakati wenzio wanakula kilaini. Na atakuja umia sana atakapogundua hivyo.
 
Miezi mitatu michache sana atulie. Watu tushakaaga mwaka ndo tukapewa tunda la kati sema kipindi icho naanza mapenzi" ila kawai sana kutoa hela hyo ndo inamuuzi zaid ya kukosa tunda naona
 
Miezi mitatu michache sana atulie. Watu tushakaaga mwaka ndo tukapewa tunda la kati sema kipindi icho naanza mapenzi" ila kawai sana kutoa hela hyo ndo inamuuzi zaid ya kukosa tunda naona
Nadhani hoja ya msingi ni hiyo,yeye asingekuwa anawajibika nafikiri asingewaza sana. Tatizo anahudumia lkn pamoja na kuhudumia anaambiwa hawezi kupewa papuchi bado anachunguzwa km anastahili kupewa au la! Hapo ina maana anaweza kuja kuambiwa hana sifa uchunguzi ukikamilika.
 
Si kweli kwamba tendo la ndoa ni lazima kwa wale ambao hawajaoana.
Na rafiki yako kwa nini aombe ushauri kwenye suala ambalo ndo kwanza limeanza.
Huko mbele akimuoa atakuja kutuomba ushauri tena?
 
Natongoza ili nipate papuchi,lakini badala yake papuchi aupewi ila unaanza kutoa miela yako weeee uo upuuzi sitaki kuusikia
No service no payments
 
Back
Top Bottom