Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Wanaume serious siku hizi hakuna.wanawake hakuna!ni adimu sana na ukimpata ni muujiza
 
nilisem hivi

ukaniuliza

nikakuuliza

sasa ona unvyotapika

ni wapi nimekwambia nikupende?

Sorry, sikusoma kwa makini kumbe uliuliza upende nn, sorry best najua hujachukia, pamoja
 
Nashukuru kwa pm moja niliyo pata
 
Mkuu ninaye hapa sema ametumika kidoogo...keshatotoa watoto wanne, ila nikimtazama naona kama atakuwa kabakiza mayai ya watoto kama sita hivi!!ana uzoefu wa kutosha katika ndoa...sababu za kumtoa ni kubadilisha tu mboga!! Interested??? Ruka PM fasta mkuu usijekosa bahati
 
kwa staili hiyo Bora si nioe toto wa mjomba, hata kumfichia siri kidogo hamna?
 
Nimepata jaman,niko hatua za mwisho za kuonana tufahamiane zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom