mapema
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 992
- 3,146
Wana JF,
Si mgeni sana hapa, nimesoma post na third nyingi pamoja na kejeli nyingi na kukatishwa tamaa wenye kutafuta wenzi lakini mi sijasita kutafuta bahati yangu. Ninahitaji la mwanamke wa kuoa baada ya umri na akili yangu kuruhusu, niko na miaka 27 .
Alie na umri linganifu na wangu yaani kuanzia 20/26, asiwe amenizidi sana elimu nisije muelemea, angekua na rangi nyeupe ningefurahi zaidi ila ila si kwa muhimu sote tumeumbwa na Mungu mmoja, atakae kua tayari kuolewa kabla ya kukutana kimwili na asie nishawishi kufanya hivyo, akiwa na mtoto si shida ila uhakika wa kutokua na mawasiliano na mzazi mweza utamlazimu.