Umewahi kujiuliza kwanini dume la ng'ombe Huwa linanusa!!?kwanini Kuna baadhi Huwa wananusa hata nguo za ndani hata kama ni chafu tu!!?hivi unajua Kuna baadhi yetu tuliwahi nusa harufu TU ikadinda...
Habari Kuna mwanadada mmoja anajiitwa Galaxy lady username telegram ni santie360.
Wadau kama umewahi kukutana nae naomba taarifa zaidi yupp na umemuonaje.
@chrisgqperry
Nimeona nishee tu hii video lakini naamini ni wachache watakao relate.
Si unajua huku kwetu,
Appearances ✅
Honesty ❌
Uaminifu ❌
Integrity (uadilifu) ❌
Wale wanaoulizaga...
Kuna muda unaweza kutamani kumjibu ukidhani unalinda heshima yako kumbe ndio unaipoteza kabisa kwa sababu watu wataaanza kukushangaa kujibizana na aliyeshindikana.
Kuna watu furaha yao ni wewe...
Mpo Salama Kabisa!
Huwezi kuta Msichana Mrembo, mwenye Haiba ya kike akawa Feminist. Huwezi kuta.
Yaani umkute mwanamke mwenye shape lake alafu feminist utasubiri Sana. Au umkute mwanamke mwenye...
Ukikuatana na binti ambaye anaamini katika kupambania ndoto zake mwenyewe bila kushirikiana au kuwa na mume then tikisa kichwa kwa masikitiko halafu toa msonyo wa “hewala” na uendelee na shughuli...
Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.
Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa...
Wakuu hawa viumbe vipoje? Aisee yule mke wangu wa jamii forum aliyenitosa anaomba turudiane baada ya kuona andiko langu la hapa jamvini na analalamika yule bwana wake mpya amemtosa na analalamika...
Mwaka 2021 Mshambuliaji wa zamani wa Orlando Pirates, Raia wa Zimbabwe,Tendai Ndoro mwenye umri wa miaka 36, alipoteza nyumba na magari yake ya kifahari baada ya kuachana mkewe Thando Maseko,raia...
Ulizaliwa na mama yako akiwa hajaolewa na pengine akaja kuolewa na mwanaume mwengine tofauti na baba yako, mwanamke huyu unamsifu.
Lakini hapo hapo unawadharau single mothers kwamba hawafai...
Habarini wana jamvi ,natumaini mko salama na poa kabisa. Leo nimeona nilete mkasa wangu kwenu, mkasa ambao niliwahi pitia huko nyuma.
Iko hivi miaka michache nyuma nilikutana na dada mmoja
kwenye...
Simu huchuja meseji na calls, ni watu fulani tu simu zao zinaweza kuita na meseji zao kuingia, wengine wakiwemo michepuko missed call zao na meseji zitaonekana hadi do not disturb itapoondolewa.
Habari zenu,
Mambo yako hivi, kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kama zaidi ya mwaka hivi. Ndio main chick kwa sasa, kitandani nipo nae vizuri saana, yaani sina tatizo kitandani. Hapo juzi...
Moja ya kitu kigumu sana ni kua consistent na mazoezi, ukiona mtu ana six pack maana yale amekua na discipline ya hali ya juu na kua consistent. Consistency beat talent, so mi huwa nawakubali sana.
Unamke, mchepuko, bado umezaa na mtu tofauti na hao , na bado ofisini unakiMada alikutafutia kazi .
Kuna mwanadada ameolewa akazaa mtoto wa kwanza chotara , mume kuuliza alijibia atakuwa mweusi...
Asikwambie mtu JAMAN hili n janga la taifa kama sio dawa sugu
YAAN wengine wake zetu wanapiga maombi mpaka basi na wanavyoongeza maombi na Hawa NDUGU small house wanaongezeka
Mwenye kujua maombi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.