Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natumai mu wazima, Ningependa kujua juu ya hili, ''kuoa mke mwenye matatizo mleta matatizo kwenye familia inakusababishia kuwa mwana falsafa (philosopher)". Tujadili mada hii
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mfano rahisi kabisa ni Joseph Mbilinyi aka sugu ! Unampata mpenzi mwema kabisa mwenye adabu zote lakini kadiri mambo yanavyozidi kusonga unagundua mengi yasiyo ya kawaida na ya kukarahisha huku...
16 Reactions
132 Replies
12K Views
Naomba kuwauliza wanawake, hivi nyie kila mnapoingia kwenye mahusiano na mwanaume lazima mahusiano hayo yaishie kwenye ndoa? Je hamuwezi kuingia kwenye mahusiano kama burudani tu huku...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Leo nilikuwa na ishu flani nafatilia town, ikanibidi nifike ofisi za taasisi flani Duuuuh! Nilichokikuta humo mimi nimeona! Yaani watu hawanionei hata aibu mgeni wa ofisi stori wanazopiga...
2 Reactions
181 Replies
26K Views
Wakuu, Je, inafaa kumuoa wifi wa shangazi yangu, yani namaanisha shangazi yangu ana mume na mume wa shangazi ana dada yake ambae tunapendana na naona ananifaa sana "wife material" Ushauri tafadhali
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Hihihihihihi! Mbona mie nalia tena mchozi ilinimwagika baada ya mpenzi wangu kuniacha wakati bado kumbe ninampenda mpaka kidume mie nachekwa eti ni udhaifu au niliwekewa binzali huku kwenye misiba...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Nashangaa sana siku hizi wanawake wengi wakiachika wanasingizia walikua wananyanyasika. Mfano ni hawa mabinti Lady JD, Frola Mbasha, Shamsa Ford nk. Siku chache kabla ya kuachika walikua...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Huyu binti nimekuwa nikimundaa vizuri tu wakati wa tendo mpaka anapizi kabla hata sijaanza kazi, cha kuashangaza kila mimi nikifika yeye anakuwa bado anahitaji tu juzi nimepiga kama goli nne gesti...
1 Reactions
166 Replies
35K Views
Hivi kwanini isiruhusiwe tu na serikali ya TZ, namaanisha watoe na vyeti kadhaa vya ndoa sio moja tu, tatizo hasa liko wapi?. Waislamu kila siku wanajipendelea. Wakistro tunajibana na mke mmoja...
1 Reactions
105 Replies
12K Views
Habari za weekend wana Jf, Nimebeba gunia zito la misumari, nimeombwa nitoe hela ya ada ya watoto kunusuru maisha ya mama mkwe. Mgonjwa wetu, yaani mama mkwe bado yupo hospital ila amehamishiwa...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Kwanini wanawake wanakuwa na roho ngumu kiasi hiki yaani? Chake ni chake chako cha wote, anapesa lakini atakuomba pesa, Connection love. Duuuh! Inachosha sana jamani punguzeni.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huna gari, hujawahi kumiliki, hufikiri hata kuja kumiliki kwa sababu huna uwezo huo au una kigari tu cha ajabuajabu, mfano vile vya mil 4.5 - 6 (mnavijua) or whatever the case. Unatembea zako...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wasichana wengi kuanzia miaka 19-23 sio waaminifu kwa wapenzi wao kwasababu bado huamini kuwa na uwezo wa kupata wapenzi wengine. Wavulana between 19-23 ni waaminifu sana kwa wapenzi wao kutokana...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Jamani natafuta marafiki wa kike wa kuchat nao tu, nothing else alie tayari. Anchek whatsapp au kawaida 0655415200
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke hujaowaaa wala kuolewa na wala huna mchumba usipende kuwa na mahusiano na mwanaume au mwanamke mmoja. Unatakiwa uwe nao kama watatu hivi na kuendelea ili mmoja...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Jamani nashindwa kuelewa haya maajabu ya akina mama wanaouza matunda na mbogamboga katika maeneo mbalimbali nchini, nimeshindwa kuwaelewa kuwa ni kwanini wanakuwa na maumbile mazuri (figa) kuliko...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
We ni mwanaume umeshamcheat mkeo zaid hata ya mara kumi na manyanyaso madogo madogo ye anakuangalia tu sababu kashapigana sana...kashakuonya sana lkn unaonyesha humpendi yaani kama umemchoka...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
hamna ma -lady boys,mbona tangu nakua sijawahi kuwasikia au wanafichwa??????????i would like to meet one so i can get in some new adventures.......:redface::redface::wacko:
1 Reactions
33 Replies
11K Views
Habari zenu wanajamii forum, Kuna jambo ambalo nalishanagaa kidogo japo sina uhakika asilimia 100 but kwa utafiti nilikokafanya kidogo tu nimegundua wale wanawake wazuri na wenye sura na...
0 Reactions
88 Replies
23K Views
Hivi maisha ya mwanamke yako kwenye kuzaa? Ni kwa nini ukimpa mwanamke mimba na usimuoe wanasema umemharibia maisha, kwamba maisha yao yanategea kutozaa. Ni kwa nini wanawake wamewekeza maisha...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…