Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuendesha baiskeli, kuna madhara gani? Vipi usalama wa bikra yake?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mtulivu na mtanashati,najitokeza humu, nia ya kutafuta rafiki mzuri na mstaarabu ili kuwa rafiki yangu wa kudumu. Aliye na kigezo cha uzuri na ustaarabu kama mimi ani pm namba yake...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
ggggggggggg
0 Reactions
120 Replies
13K Views
Kuna wanawake kama walivyo wanaume ambao wana matatizo ya kisaikolojia ya kingono. Matatizo haya ni pamoja na pale ambapo mtu hawezi kujizuia kufanya ngono na mtu mmoja au hatosheki hata akifanya...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari zenu wana Jf, Naandika thread hii kwan mda mwengine napatwa na wakati mgumu sana naomben wana jf wenzangu tiririkeni. Kuna binti nlitokea kumpenda sana na baada ya kumtongoza...
0 Reactions
92 Replies
11K Views
Habari za wakati huu wapendwa wana Jf, Humu tupo wengi wa sehemu tofauti tofaut na pia rika tofauti ningependa tufahamiane jamani so kama upo online jiachie usisite hii ndo time yetu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
When you're cut you won't be a slut looking for men like a prostitute': An utterly horrifying encounter with the FGM cutter women who butcher young girls' genitals with a razor blade WARNING...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Haka kadude kanawekwaje mdomoni mwa mtoto ahisi kuwa ananyonya, maana huyu wetu haishi kukavutavuta almanusura akameze... Mbona wale watoto wa kizungu huwa wametulia tu?! Kwa mwenye uzoefu...
13 Reactions
101 Replies
20K Views
Lately i've been rolling in places crowded with women in uniforms man, hot women that make me black-out for a few seconds everytime i see them. Picture a mami with a lean body, mean thighs, fine...
0 Reactions
30 Replies
13K Views
Wana jf; natumai ni wazima wa afya njema;nina mchumba (elimu ya chuo)ambaye tuna miaka takribani miwili sasa.ila toka nianze kuwa nae mara nyingi watu wangu wa karibu wa kike na wakiume huwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni mtoto watano katika familia, isitoshe sikuwahi kulelewa na baba kwani baba alinikataa nikiwa mdogo, lakini nilipokua alianza kunibebeleza niende kwake kwani alinichukua na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wa kuu, Namshukuru Mungu kwa kutufikisha siku ya Leo,mmi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26,mwenye kimo cha kawaida,natafuta msiçhana mwenye umri kuanzia miaka 18 mpaka 25 ...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Nimevutiwa na hoja mbalimbali zinatozolewa na wadau humu nikaona sio mbaya na mimi nijiunge ili tuendelee kubadilishana mawazo.
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Sababu wanayoitoa wanasema hawaniwezi yaani kila ninaebahatika huwa hutufikishi mwezi anakimbia na mwisho hata namba yangu wanaibkock ,na nyumbani nako noma wanasema sikai na msichana ,hivi wadada...
0 Reactions
55 Replies
10K Views
Ni Jioni Moja Tulivu Wanaonekana Jamaa Wawili Wakishuka Katika Boda Boda Wakielekea Makwao.. Katika Nyumba Moja Iliyochoka Zinaskika Saut Mbili Za Watoto zikilia.. "dady" "dady" na m1 kat ya wale...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Napenda kujitokeza mbele yenu kuomba ushauri kwa ili suala nalollpitia kwa sasa japokuwa inaweza kuonekana jambo la kawaida kwa wadau wengine hapa ndani. Kwa ufupi nimetokea...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari wakuu, Kwenye Pita pita zangu nikaona hii kitu ya huyu mtoto wa kike nikahisi kuishiwa na nguvu -----------------------------------------------------------------------------------------...
5 Reactions
104 Replies
20K Views
Habari ya jioni wanaJf, Mini ninawatoto wanne kwa wanawake tofauti tofauti yani mmoja yupo Dar wa pili Morogoro, watatu Mbeya na wanne ni Msukuma yupo Mwanza. Sasa japo nimewazalisha ila...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Nawapongeza sana madaktari wote mnaopenda kazi yenu na kuhudumia watu kwa moyo mmoja mungu awabariki sana na azidi kubariki kazi zenu kwani huo ni wito. Nawapenda sana madaktari hata nikisema...
17 Reactions
88 Replies
10K Views
Mimi ni kijana wa umri wa kati nafanya biashara nimejiajiri,nimeamua kutafuta rafiki wa kike wa kudumu ambaye kama tutaelewana atakuwa mke wangu kigezo kikubwa ni kujitambua.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…