Mimi ni mgeni naomba kukaribishwa

ndorobo 2

Member
Jun 25, 2015
38
0
Nimevutiwa na hoja mbalimbali zinatozolewa na wadau humu nikaona sio mbaya na mimi nijiunge ili tuendelee kubadilishana mawazo.
 

happiness win

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,462
0
Karibu aiseee! Sijui unatumia kinywaji gani? na kiburudisho gani ukipendacho! Ni vema tukatambuana mapema ili kama kikikuchukua tujue tunakusaidiaje! ha ha haaa:majani7:
 

The Messenger

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,524
2,000
Nimevutiwa na hoja mbalimbali zinazolewa na wadau humu nikaona sio mbaya na mimi nijiunge ili tuendelee kubadilishana mawazo.

mie nina mda sana humu jamvini lakini sijawahi kukaribishwa....
Majamvi mengine ukiingia kama ni ME unapewa KE na kama ni KE unapewa ME, wa kuliwazana PM's
Humu ni ngum ngum tu duuuh!!!

Wanajamvi naombeni tume iundwe ya kulishughulikia hilii
 

The Prezident

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
459
195
1. Wageni huwa hawajui taratibu hii ya kukaribushwa. (Unaamsha udadisi kuhusu ugeni wako)

2. Na iwe wazi kabisa. Ukaribisho Hauombwi wala kulazimishia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom