Kwa wanaume tu: Huenda hata nyie wenzangu mmeshawahi kukutana au kuona na wanawake wenye tabia hizi!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Kuna wanawake kama walivyo wanaume ambao wana matatizo ya kisaikolojia ya kingono. Matatizo haya ni pamoja na pale ambapo mtu hawezi kujizuia kufanya ngono na mtu mmoja au hatosheki hata akifanya ngono saa kadhaa kwa kutwa nzima, endapo mtu ni huyo huyo.

Anatamani tu kubadili nwanaume atakavyo kufanya ngono na wanaume tofauti ndio ndio anajisikia kuridhika na tendo, na sio kwa sababu ya fedha au kunufaika na jambo lingine, la hasha, kinachotafutwa ni kuridhishwa kingono.

Hivyo ni rahisi zaidi kwa mwanamke mwenye silka hiyo kugawa mwili wake kwa mwanaume yeyote atakayemfuata. Kuna wakati malezi huweza kumfanya mwanamke kushindwa kuona sababu ya kuwa na mpenzi mmoja. Malezi yamemfundisha kwamba anaweza kutembea na wanaume wengi bila kujali.

Ndio maana kuna wanawake ambao kufanya ngono za hovyo huku wakiwa wameolewa sio jambo wanalolionea aibu. Kumbuka tumefundishwa katika malezi yetu kuhusu ubaya wa kufanya ngono za hovyo, ndio maana tunasita au kushitakiwa na dhamira kila tunapotaka au tunapofanya hivyo.

Kuna familia mbazo bila kujua au kwa kujua hufundisha watoto kwamba kufanya ngono holela ni jambo la kawaida na mtu hapaswi kuona aibu au kushitakiwa na dhamira. Ndio maana inashauriwa sana kuwa waangalifu kwa mtu kwenda kuoa au kuolewa mahali ambapo mama na (au) baba ni Malaya na hakuna anayeonesha kukerwa na jambo hilo. Inashauriwa kuwa waangalifu kwa sababu kwenye familia kama hizo uwezekano ni mkubwa kwa watoto kuchukua tabia hizo za wazazi.
 
wewe umeshachukua hatua gani juu ya hili swala au ndiyo mganga hajigangi..
 
ukweli ni kuwa hisia hizo ni za kusadikika..............................na wakati mwingine ni za kufikirika katika fikra za mtu...........anakuwa ana mapungufu ya kisaikolojia......................na sababu kubwa ni kuwa anaona hajitoshelezi na anahitaji kuridhisha wengine ili kuziba ufa ndani ya nafsi yake...................................zipo tiba za kumwondolea adha ya kuwa "hailali"................................na kuifaya iwe inadai haki ya kupumzika au hata kupumzishwa................................kwa leo yatosha...................nisimwage mtama kwenye kuku wengi..................lol
 
nilisikia wanasemaga tunatafuta wenza wenye vigezo vya wazazi wetu,kama baba alikuwa kiwembe iko chance kubwa mtoto naye atakuwa hivyo hivyo,so tunapoangalia wachumba tujaribu kusoma tabia za wazazi tutapata picha ingawa sio mara zote mtoto atafuata the same pattern ingawa kuna uwezekano mkubwa.
 
Kwa WANAUME TU mambo yote
Yanahusu mwanamke ...
.......
Sasa tatizo hapa ni nini?
Maana sjakupata vizuri..
Hupendi wanawake wanaopenda
SEX au?,?, au hupendi wale wanao
Furahia na kuonyesha ujuzi wakiwa uwanjani?,??

Salamu zenu..
 
Yaa wadada wa aina hiyo wapo mkuu. Uncle wangu alikuwa na GF kumbe dada anagawa left and right alipogundua wakaachana ila rafiki zake huyu dada wakamwambie uncle huyo dada yuko hivyo for years-toka sekondari. hataki hela wala nini anapenda tu kuwa na watu wengi at all the time-ma-X BF wote wakishtua wanapiga, kazini wanapiga, majirani wanapiga, wengine one night stand, etc. mwanaume mmoja hamtoshi. Tulishangaa!

Na wengie wanaitwa mama huruma. ukiomba tu unasaidiwa
 
Yaa wadada wa aina hiyo wapo mkuu. Uncle wangu alikuwa na GF kumbe dada anagawa left and right alipogundua wakaachana ila rafiki zake huyu dada wakamwambie uncle huyo dada yuko hivyo for years-toka sekondari. hataki hela wala nini anapenda tu kuwa na watu wengi at all the time-ma-X BF wote wakishtua wanapiga, kazini wanapiga, majirani wanapiga, wengine one night stand, etc. mwanaume mmoja hamtoshi. Tulishangaa!

Na wengie wanaitwa mama huruma. ukiomba tu unasaidiwa
Duh atakuwa na ugonjwa huyo lazima tu
 
Hapaalikuwapo mwanamke alimwambia mshikaji mimi napenda kufanya sex lakini mimi sio malaya,sasa ni nani?

Huyu demu amewahi kuja tunapoishi cc zaidi ya 2 usiku saa 9 akimsaka mshikaji na kumweleza maneno hayo.
Now it is true there are such problems with its roots from abuse or abandonment.Abandonment from parents or relatives can result into this which is always associated with abuse.This is seen to men too for similar reasons.Sex is taken as refuge like alcohol or drugs.
Breaking of relationships plays the same role.


My take:Swala zima la moral standard is so important to our families and us in general.Any kind of abuse may result to this ,then it important to avoid this as much as we can.
We christians believe that our bodies are temples of Holy spirit so we should take care of them.
 
Kuna school mate wangu o'level na A'level alikuwa na boyfriend wanne (4). Dada ni mzuri sana na ametoka familia bora sana na kwa ninavyowajua wazazi wake naweza kusema ni decent. Yani huyo dada yeye ni mpole na akiongea unapenda aendelee she is so cute. Tatizo mvulana ukimtaka akakukubali ni kuwa hatakuacha kamwe. Utaondoka mwenyewe.

Na yeye anapenda ma handsome boys tu wala hana shida ya ela kwani kwao mambo yalikuwa safi sana. O'level alikuwa na wanaume wawili na wanajuana (shule ilikuwa mixture na hao wanaume tulikuwa nao same class) wanabaki wote kumliliakuwa anawafanyia vibaya, kumwacha hawamwachi. A' level (boarding) kaongeza wawili wakawa wanne (tulifaulu kwenda same school again).

Nasikia alipofika college alikuwa anatoka na pedeshee mmoja huku wale wa nyuma anawamegea kwa muda wao. mmoja ya alokuwa na affair nao akachoka akaamua kuoa; dada acha alie. Ukimuuliza wewe si unao wengi anasema nawapenda wote; yani sijatunga tulikuwa tunamuhoji anatujibu laivu tena kwa sauti yake ya upole. Can you imagine. Sasa ameolewa na ana kazi nzuri; sijuhi kama anaendelea au kaamua ku settle. Kuna watu kweli wana ka ugonjwa. Afu wana damu ya kupendwa maana majamaa walikuwa mpaka wanalia kwa nini anawatendea hivyo. I knew all his boys kwa kuwa walikuwa ni wanafunzi wenzetu. Lakini majirani zake wanasema ana msururu wa wanaume including vijana majirani.

Afu dada mwenyewe ana sura ya kitakatifu, na anaongea polepole. Yani vijana lazima waingie mkenge maana utasema thisi is the one. Pamoja na tabia yake hiyo ni dada ambae huwezi sikia mtu anamsema vibaya maana ni mpole mmno. Kuna kijana watu walimkanya kuwa hapo usiingie utaumia wacha aje juu eti mnanionea wivu. We haukupita mwaka akaanza mpaka kuwanunia marafiki zake kwa aibu; maana aligundua wako kibao.
 
Ebwana kama ulikuwepo wanawake kama hao wapo tena utakuta wanakupenda na kukuonyesha mapenzi ya kweli lakini bado tu atagawa nje yaani hata kama unamridhisha kwao ngono ni kama ugonjwa na kama ilivyo kwa wanaume nao hufika kipindi hutulia wenyewe ila nadhani inakuwa ni tabia ya kurithi kwani ukifatilia utakuta wengi baba zao au mama zao walikuwa hivyo
 
Back
Top Bottom