Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habar wana jf jaman kwani wanawake sikugani ni salama kumwagiwa manii ndani
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa wale mnaopenda kuchunguza chunguza inbox za wapenzi wenu mnajitia presha na mashinikizo ya damu bure. Yanini shida, jiamini, muamini, kama ni kuchepuka basi mwambie wazi kabisa kwamba...
1 Reactions
99 Replies
10K Views
Natafuta msicha mwenye upendo wa dhati, hekima na heshima. Mi naendelea na masomo nawaita kuingia chuo for sure Please be serious, aliyetayari namba hiyo 0717305883
0 Reactions
2 Replies
883 Views
U know sometimes there are men who cant get off the relationships. They have walked too far away and they feel pitty to get back. It once happened to me when I got into a relationship to a woman...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
According to me, this is the most best break -up song of all the time.. Mwimbaji ameonyesha ustaarabu wa hali ya juu sana.. Ameimba kiungwana though mwanamke anaweza kuwa...
3 Reactions
60 Replies
8K Views
Hellow wadau, Ninatatizo moja kubwa sana na hata sjui nianzie wapi kusolve. Ninampenzi wangu anaitwa Ashura ninampenda sana pia yeye ananipenda sana. Lakini tatizo nikwamba mimi ni mkristo yeye...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Kuna tatizo niko nalo yani nikikaa na msichana zaidi ya mwezi namchoka nabadili mwingine. Yani najitahidi sana ku fall in love ila siwezi kukaa na msichana mmoja kwa muda mrefu. Nimebadili sasa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani katika maisha ya kijamii ni bora kumuheshimu mke/ mme wa mtu. Ni jambo baya sana kumjaribu mke /mme wa mtu kwa mapenzi maaana hakuna aliyekamilika.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Niliwahi kuja hapa na huu mkasa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/588449-niliapa-kutosimulia.html Jana nikiwa Quality Center na wife nimekutana uso kwa uso na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka 2013 nilipata fursa ya kushiriki kwenye mradi ulionisaidia kuitembelea Tanzania kwa 80%. Katika mradi huu nilifanikiwa kujiongezea marafiki wengi karibu kila pembe ya nchi. Kinachoendelea...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Mimi ni kijana natafuta rafiki wa jinsia yoyote ile so if u r interested don't hesitate. Let's exchange our contact and make a good friends
0 Reactions
1 Replies
794 Views
I need a friends to chart with on whats app,comment ur no# i will text you. lets share pics & videos welcome!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Iam Edu, 26 looking for you poor lady under 22 for coupling, neither ur education nor your business neither your color nor your height as long as you you will fit my poverty soul. Pm or 713 123...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
habari zenu waote... mimi ni kijana wa kiume ila leo wikend imekuwa mbaya sana baada ya kuwa na mwanmke mmoja mrembo na kapendeza sana ila baada ya kukaaa naye room nimekuta ananuka mdomo na...
1 Reactions
58 Replies
7K Views
Eti wana MMU mapenzi yalianzia wapi? Eti wana MMU nani aliyabuni mapenzi? Eti wana MMU ni kitu gani kitamu zaidi ya mapenzi? Eti wana MMU ni kitu gani kinamaumivu makali zaidi ya mapenzi? Eti wana...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wasalamu wana jamvi, Ninae mpenzi ambaye miezi 3 mbele panapo majaliwa tutafunga ndoa, nashukuru MUNGU kwani ni mwema kwa kunipa mwenza panapo majaliwa. Huyu mke wangu mtarajiwa ni mpole na...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Natafuta rafiki wa kike umri 30-50 mie 45 awe anajitambua na kujiheshimu namba ya simu itatolewa baada ya kupata muitikio
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwenu wana Jf, Mwanzoni mwa miaka ya 2011 nilianza kujikita zaidi katika maswala na utafutaji wa habari kwa njia ya mitandao basi nikiwa huko sikuacha kusikilizza radio hasa hizi za fm basi huko...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta marafiki wa kike waishio Dar umri ni 18 na kuendelea nia na madhumuni ni kukuza na kuanzisha uhusiano mpya. Namba yangu ni 0756979566.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta mke mwenye umri kati ya 24-28. Mm nina umri wa miaka 30. rodneykihuriko21@gmail.com kwa maelezo zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…