agrey nziku
Member
- Jan 10, 2015
- 12
- 1
Hellow wadau,
Ninatatizo moja kubwa sana na hata sjui nianzie wapi kusolve. Ninampenzi wangu anaitwa Ashura ninampenda sana pia yeye ananipenda sana.
Lakini tatizo nikwamba mimi ni mkristo yeye ni mwislamu na ningependa awe mwenza wangu wa maisha. Pia wazazi wangu wanakataa kosa dini tofauti na wanadai harusi itafungwaje.
Napia italeta mtafaruku kwa watoto wafate dini ya baba au mama. Kikubwa baba mkwe hataki bint yake abadili dini kuwa mkristo na kwangu pia vivyo hivyo sitaki kuchange dini.
Am on dilemma I need your suggestions wadau