KunA tatizo niko nalo Yani nikikaa na demu zaidi ya mwezi namchoka nabadili mwingine Yani najii taidi sana ku fall in love ila siwezi kukaa na msichana mmoja kwa muda mrefu .. Nime badili sasa mpka nime choka... Nataka ushauli wenu
Vitu vingine ni umri
kuna umri wa ku explore na umri wa ku settle
au unachagua wrong types...
take it easy....nenda taratibu
KunA tatizo niko nalo Yani nikikaa na demu zaidi ya mwezi namchoka nabadili mwingine Yani najii taidi sana ku fall in love ila siwezi kukaa na msichana mmoja kwa muda mrefu .. Nime badili sasa mpka nime choka... Nataka ushauli wenu
And perhaps some people just aren't monogamous by their very nature.
After all, are human beings even configured to be monogamous?
More often than not I tend to think we aren't and that the whole notion of monogamy is just a social construct mirage.
This is funny coming from you
tumewahi mimi na wewe kubishana kuhusu polygamy kama unakumbuka
wengi wanaosema monogamy is not natural wanasema pia polygamy ni so natural
wewe unasemaje kuhusu polygamy?
Ameanzisha threads 6 ndani ya usiku mmoja..huyu jamaa kibokokwa 'akili' hizi,Canada utaiskia tu kwenye 'bomba!'
kama una-TAKA...,KAOGE!.mimi ngachoka!
Sasa ndo nini umeandika? Kama umechoka manaake si ndo umeacha kubadilisha? Au umechoka nini?Kuna tatizo niko nalo yani nikikaa na msichana zaidi ya mwezi namchoka nabadili mwingine. Yani najitahidi sana ku fall in love ila siwezi kukaa na msichana mmoja kwa muda mrefu. Nimebadili sasa mpaka nimechoka.
Nataka ushauri wenu