Si busara kuchunguza inbox ya mpenzi wako

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Kwa wale mnaopenda kuchunguza chunguza inbox za wapenzi wenu mnajitia presha na mashinikizo ya damu bure. Yanini shida, jiamini, muamini, kama ni kuchepuka basi mwambie wazi kabisa kwamba ukigundua pasipo shaka kuwa kachepuka biashara itaishia hapo hapo.

Je wajua?
Asilimia kubwa ya mitafaruku ya mahusiano husababishwa na tabia ya kuchunguza chunguza inbox ya mwenza wako.
Acha tabia hiyo kama ni kuchepuka anaweza akachepuka bila hata kutumia simu. Wajua akitoka au ukitoka kwenda kwenye mihangaiko anakutana na nani na anafanya nini, na huku inbox ikiwa tupu.

Epuka stress, epuka shinikizo la damu, potezea inbox ya mpenzio ni hayo tu. Mwenye mawazo tofauti anikosoe.
 
Yaani mi kuna mtu juzi juzi alinikera.. Rafiki yangu tu nilikua naichaji simu yangu ofisini kwake kumbe nilivyoondoka akaanza kusoma meseji zangu.... Akasoma weee naona alianza juu huyo anashuka chini

Sa nikawa napigiwa simu .. Sipokei ye ikikata anaendelea baadae aliekua ananipigia akanipigia na simu ya mezani pokea simu yako nakupigia.. Nimeenda ofisi yake kuchukua simu akashtuka huyooo nikamwambia naomba simu yangu ananiambia kuna mtu anapiga... Mie nimeongea kumaliza najikuta kwenye sehem ya mesage tena imefunguliwa... Yaani alinikera na upeku peku wake ..
 
Inbox tu? Siku hizi wame-improvise. Kuna Jamaa humu alishuhudia kwamba kila akirudi home anakaguliwa Chululu kama ilitumika ama vipi, noma sana.
 
Rafiki Akuchunguzae namna hii ni mtu wa hatari zaidi kuliko adui yako
 
True............... Jifanye researcher uwe specimen in relationship
 
Jitengenezee mazingira ya kuaminiwa uone kama kuna mtu atakufukunyua. Otherwise usikasirike mwenzi wako akikukagua while unaishi kwa machale na simu yako.
 
Inbox tu? Siku hizi wame-improvise. Kuna Jamaa humu alishuhudia kwamba kila akirudi home anakaguliwa Chululu kama ilitumika ama vipi, noma sana.

Yaaani Ni shida asee kama mtu anajiona hayupo safe sii asepe Tu kuchunguzana hakuna maana
 
Yaani mi kuna mtu juzi juzi alinikera.. Rafiki yangu tu nilikua naichaji simu yangu ofisini kwake kumbe nilivyoondoka akaanza kusoma meseji zangu.... Akasoma weee naona alianza juu huyo anashuka chini

Sa nikawa napigiwa simu .. Sipokei ye ikikata anaendelea baadae aliekua ananipigia akanipigia na simu ya mezani pokea simu yako nakupigia.. Nimeenda ofisi yake kuchukua simu akashtuka huyooo nikamwambia naomba simu yangu ananiambia kuna mtu anapiga... Mie nimeongea kumaliza najikuta kwenye sehem ya mesage tena imefunguliwa... Yaani alinikera na upeku peku wake ..

Aise watu wa namna hiyo wanakera. Mtu sio mtu wako sijui kwanini macho na mikono vimuwashe...
 
Yaani mi kuna mtu juzi juzi alinikera.. Rafiki yangu tu nilikua naichaji simu yangu ofisini kwake kumbe nilivyoondoka akaanza kusoma meseji zangu.... Akasoma weee naona alianza juu huyo anashuka chini

Sa nikawa napigiwa simu .. Sipokei ye ikikata anaendelea baadae aliekua ananipigia akanipigia na simu ya mezani pokea simu yako nakupigia.. Nimeenda ofisi yake kuchukua simu akashtuka huyooo nikamwambia naomba simu yangu ananiambia kuna mtu anapiga... Mie nimeongea kumaliza najikuta kwenye sehem ya mesage tena imefunguliwa... Yaani alinikera na upeku peku wake ..

Yaani nimejikuta napata hasiea ghafla utadhani nimefanyiwa hayo mchanw ukweli ajue umeelewa alichokua anafanya sio ustaarabu
 
Jitengenezee mazingira ya kuaminiwa uone kama kuna mtu atakufukunyua. Otherwise usikasirike mwenzi wako akikukagua while unaishi kwa machale na simu yako.

Kuaminiwa ni matokeo ya kujiamini wewe mwenyewe. Jiamini kuwa wewe ni bora na wa thamani (ila usijisikie) na hakika mwenzi wako atakuamini pia. Kuchunguza chunguza inbox ni dalili za kutokujiamini na kamwe hutaaminiwa.
 
Yaani mi kuna mtu juzi juzi alinikera.. Rafiki yangu tu nilikua naichaji simu yangu ofisini kwake kumbe nilivyoondoka akaanza kusoma meseji zangu.... Akasoma weee naona alianza juu huyo anashuka chini

Sa nikawa napigiwa simu .. Sipokei ye ikikata anaendelea baadae aliekua ananipigia akanipigia na simu ya mezani pokea simu yako nakupigia.. Nimeenda ofisi yake kuchukua simu akashtuka huyooo nikamwambia naomba simu yangu ananiambia kuna mtu anapiga... Mie nimeongea kumaliza najikuta kwenye sehem ya mesage tena imefunguliwa... Yaani alinikera na upeku peku wake ..

weka password kwa ajili ya watu kama hao,lakini kuondoa utata,mjulishe na mwenza wako hiyo password huku ukimueleza nini kilitokea hadi umeamua hivyo.
 
Ninaingia na sitoacha kuingia ng'oo!lazima tujenge misingi ya kuheshimiana bwanah!ukiacha haya mambo ukajifanya kupuuza ndio unakuta mtu anaongea na malaya wake au kuchat naye mbele yako!kama ana simu anayochat na watu wake anaiacha ofisini basi poa ila mbele yangu marufuku!
 
Kuaminiwa ni matokeo ya kujiamini wewe mwenyewe. Jiamini kuwa wewe ni bora na wa thamani (ila usijisikie) na hakika mwenzi wako atakuamini pia. Kuchunguza chunguza inbox ni dalili za kutokujiamini na kamwe hutaaminiwa.

Hiyo sentensi yako ya kwanza ndivyo inavyotakiwa. "Jiamini then ndo uaminiwe", it all begins with u. Kuwa free na simu yako then na me sitokuwa na wazo nayo hata.
But kama unaishi na simu yako kimachale, me ntaanzaje kukuamini? Na ili niprove kama hakuna kitu kibaya basi itabidi nichungulie tu simu yako
 
Sa chululu unajuaje ka imetukika na mie nianze kutumia hii njia lol

Chululu ya me si rahisi kuichunguza,ikioshwa na ikitoa mkojo shuhuli imeisha,haina ushahidi tena.
Halafu uzuri mwingine ni kuwa,ukitumika sehemu moja hadi ukawa huweZi tena,akija mwingine ni mpya kabisa hata kwa moja tu.
za kina dada ndiyo zinatepeta
 
Sasa kama hamna cha kuficha kwanini nisiingie inbox?

Si una simu yako! Tumia simu yako! Ya Mwenzi wako ni yake! Ndio maana anaposajiri line anatoa kitambulisho. Na anakuwa responsible kisheria kwa kiingiacho na kitokacho ktk hiyo simu. Sasa wewe unaichunguza ya nn?
 
Back
Top Bottom