MI ni kijana mkazi wa Dar, niko bachelor, nina elimu ya Chuo Kikuu nilimaliza 2013, nina twenty six years nilipomaliza nikaajiliwa na Serikali hazina mpaka sasa.
Ninatamani kumpata mrembo hapa...
Dah! Leo Nimemkumbuka mbali sana nimekumbuka msichana mmoja anaitwa Ana, alinishawishi kula Ada ya Shuleni mpaka Ikapelekea kufukuzwa Shule na baadaye aliniacha dah! niliumia sana.
Na wewe...
Habari wana JF,
Mi ni mvulana wa miaka 28 na elimu yangu ni first degree pia naishi Dsm. Natafuta binti mwenye miaka kuanzia 19-24 awe na mwili wa wastani, urefu 161-163 sentimita, dini should be...
Habari za mida hii wapendwa,
Mimi ni binti mmoja mtaratibu sana, sijisifii ila niko hivyo kweli. Mapenzi yamenuimiza sana, ilifika mahali nilichukia sana wanaume, niliona ni wanyama nimekaa...
Hii ni mada lakini ni jambo linalotukumba wanaume wengi, hivi mwanaume anaweza kuwa jasiri na kumwambia mkewe au mpenzi wake kuwa ameishiwa nguvu za kiume?
Na je, wewe mwanamke jambo hili...
Nale khobha ng'wanike wa kotoola, ila abhize na myaka kwandeja makomi abhele asido kela makomi abhele na mpungate, nale ng'wanza, ila abhize na tabia ya wiza, natogilwe ngenu hado, nehu hado...
Kwanza ilianza kama masihara. Mshikaji wangu jirani (Tulikuwa tumepanga nyumba 2 ndani ya geti moja), alimchukua na house girl aliyepewa na workmate wake akawa msaidizi wa ndani kwao.
Kijiweni...
Habari waungwana,
Kama kweli mwanamke anakupenda bila shinikizo wala papara wala hajachungulia mfukoni mwako hana haja ya kukuambia "nakupenda"mara kwa mara, akikuambia hivyo daily ni aina...
Habari wana MMU,
Nina girl friand wangu ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa miezi kama 7 ivi. Ananipenda sana tena kupita kiasi coz ananijali na yuko tayari kufanya lolote kwa ajili yangu...
Wadau naamini mko poa,
Tangu uchumba, ndoa na hadi sasa ni miaka kadhaa na watoto juu, mke wangu hajawai kuniomba unyumba kwa maneno, huwa ananitega na kujilengesha kiasi kwamba mi ndo inabidi...
Wana JF,
Mara nyingi huwa kuna malalamiko juu ya wame walioshindwa jongoo kupanda mtungini suruhu huwa ni kuacha, je kwa wanawake ambao hawana msisimuko wa kimapenzi kabisaa je, wanaweza kuachwa...
Habari za kwenu,
Nina mkasa ningependa kushare na nyinyi.
Umri wangu ni 31, nina mwanamke ambaye tunakaa pamoja na mtoto ( three years old). Mkasa wangu ni kuhusu huyu mwanamke. Nina habari...
Mwezi uliopita tulikua semina mimi na wenzangu kama watano hivi mkoani, staff wetu wa zone hiyo walikusanyika hapo mkoani kwa ajili ya capacity building.
Sasa kuna mwenzetu mmoja aliamua kuondoka...
Habarini?
Jamani ukweli kuna tabia za watu zina kera sana, sijui nikukosa ustarabu, sijui ni ushamba, sijui nini ila zinakwaza sana.
Tabia ya mtu anakuja nyumbani kwa mtu(mgeni) lakini ni...
Wadada warembo wao wamebobea kwenye kuchagua mavazi tu ya kumpendezesha lakini kwenye unyumba wazito sana,yaani panapo 6*6 wao hulala tu kama vile yupo matanga.
Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi desemba nilienda kumtembelea binamu yangu alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya ukonga.
Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza,sasa...
Habari zenu ndugu wajenzi wa amani,
Ndio unapodhungumzia mapenzi unaijenga Amani kwa kanuni ile ile ya Upendo.Ndugu yenu nina wazo nadhani njaa hizi zimepelekea nikafikia kuwaza kuanzisha Chuo...