Aliniachia kidonda moyoni sitamsamehe

Aliniachia kidonda moyoni sitamsamehe

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
6,302
Reaction score
9,812
Dah! Leo Nimemkumbuka mbali sana nimekumbuka msichana mmoja anaitwa Ana, alinishawishi kula Ada ya Shuleni mpaka Ikapelekea kufukuzwa Shule na baadaye aliniacha dah! niliumia sana.

Na wewe tupia tukio lililowaikukuta kwenye mapenzi.

Fungukaa
 
Teh teh hakukushawishi bana, wewe mwenyewe ndo ulijishawishi kula Ada. Pole sana mkuu
 
Mie nakumbuka kidemu changu ndio alinifundisha kuvuta bangi kipindi hicho o level tunaishi magheto.....
 
King Makolokolo

life is too short to hold grudges and not forgive broda..
 
Last edited by a moderator:
hahahahaa hakula peke yake mlikula wote. pia nadhani shule ilikuwa inasumbua haikuwa priorities kwako.
 
Duh kila nikikumbuka aibu naona mimi....!:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
 
dah! Leo nimemkumbuka mbali sana nimekumbuka msichana mmoja anaitwa ana, alinishawishi kula ada ya shuleni mpaka ikapelekea kufukuzwa shule na baadaye aliniacha dah! Niliumia sana.

Na wewe tupia tukio lililowaikukuta kwenye mapenzi.

fungukaa
si kila mtu haya mavitu humkuta.......
.....baadhi tunauona mwisho kabla ya mwanzo
 
Back
Top Bottom