Wanawake: Eti mimi marafiki zangu wote wanaume, shame on you

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Huwa nashangaa sana unakuta mwanamke anakuambia bila ya woga 'mimi marafiki zangu ni wanaume tu sipendi wanawake wamejaa majungu,mashauzi,kujiona na sio wasiri'.

Unakuta hana haya kuzungukwa na wanaume eti ndio marafiki, ofisini wanaume tuu, huku umeolewa na unafamilia.

Hii ni kwanini, nawauliza nyie wanawake?
 
Si uamuzi wao hao kwani inawadhuru nini?

Ila wanaune nao mmmh wanapiga domo sana tena sana, kiile ya kuweka jina mezani na kulichambua kila kiti chake.
 
Hahaha newbie and controversial already...

51858403.jpg
 
Back
Top Bottom