naturalhandsome
Member
- Jul 11, 2015
- 58
- 19
Habari za mwanzoni mwa wiki,
.
Nimekuwa nikifatilia jinsi mnavyochangia kuwashauri wale waliogubikwa na mambo ambayo kwa fikra zao hawawezi kutoa maamuzi sahihi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 niko mwaka wa pili katika moja ya chuo kikuu kilichopo hapa Jijini.
Wakati niko kidato cha sita mwanzoni alitokea mwanamke aliyenipigia simu kumuuliza nani akaniambia ame wrong number,sikufatilia nikawa nimepotezea lakini akawa ananipigia mara kwa mara akidai ananijulia hali lakini kadili alivyokuwa ananijulia hali mara kwa mara nikawa nimejikuta namzoea sana na mimi inikawa nampigia simu.
Lakini kumbuka alikuwa anadai kakosea namba kwa maana hiyo alikuwa hanijui kwa maelezo yake hali kadhalika hata mimi nikawa simjui kwa maana sijawahi kumuona. Kadiri mda ulivozidi kwenda tukawa tumezoeana sana hadi ikafikia siku moja hivi jioni nilikuwa naongea nae akawa ameniuliza nikuite jina gani tofauti na jina lako halisi?
Nikawa sijamuelewa lakini akawa amenieleza kuwa anamaanisha aniite jina gani litakalovumisha au kuongeza thaman ya urafiki wetu? Kwa haraka sikuelewa alikuwa ameleng nini lakini upole nikawa nimemjibu kuwa lolote atakaloliona linafaa akawa ameniambia kuwa atafurahi sana endapo ataniita my only one.
Nikamuuliza unamaanisha nini akaniambia usijali najickia vizuri tu nikikuita hilo jina na kadili mda ulivozidi kwenda akawa anazidi kuniambia maneno matamu bila kujijua nikajikuta nimeingia katika dimbwi la mapenzi na huyo mtu. Mda wote tulivokuwa tunawasiliana siikuwahi kumuuliza taarifa yoyote kuhusu yeye ndo baada ya kuwa tuko kwenye mahusiano akawa ameniuluza kuwa unahisi nina miaka mingapi?
Kwa kweli kulingana na sauti aluvokuwa akiiremba nilifikiri ana miaka michache sana lakini nikawa nimemuambia ana miaka 30 akasema apana ana 34 akaniambia ameolewa na ana mtoto mmoja sikushituka sana kwavile mwenyewe nilikuwa nimeshazama akawa ameniamini sana tukawa tumeoanga mambo mengi likiwemo suara la kuzaa na mimi.
Baadae nilfunga nikawa nimerudi nyumbani nilifka kama leo usiku kutoka mkoani nilipokuwa nasomea kesho yake akawa ameniambia anahamu sana ya japo kuniona hata mimi nilikuwa na hamu ya kumuona tulipanga asubuhi sehemu ya kukutana kumbuka atujuani na kila mmoja anatamani kuwa wa kwanza kumuona mwenzake akawa ameniona na mimi nikawa nimemuona lakini akawa na hofu sana kuwa bado mdogo atukukaa sana.
Nikawa nimerudi nyumbani lakini alikuwa na umbo la kiutu uzima lakini kwakuwa nilikuwa nimempenda bila hata yakumuona nikawa nimekubaliana na hali lakini na kaahidi nafsi kuwa siitokutana nae kimwili ilikuwa ni msimu wa sikukuu alijtahidi sana kunishawishi nikutane nae kwa mara ya pili ili angalau ata anikumbatie baadae nilikubali, lakini nikamuambia kuwa hamna ata kugusana alikubali shingo upande.
Tulipokutana akannua kinywaji tukawa tunakunywa akaniauliza achukue chumba nikakataa nilkataa kata kata saanne tukawa tumeondoka siku nyingne akawa amenikamata tena kaniambia achukue chumba nikawa nimekubali akaniambia nikaulizie vyumba nikachukua kwa kweli nilchokipata ckuwah kukipata sehemu nyungne yeyote nilvutiwa sana nikawa nimeomba na kesho akakataa kuwa atakuwa bizy.
Nikarudi shule nimeendelea kuwasiliana nae kila siku baadae nikawa nimemaliza nikarudi home lakini mpaka leo hii nampenda naninamhitaji sana kiasi kwamba hisia kwa vijana wa rika yangu lakini badae aliniambia kuwa ameolewa na mme wake ni Meneja wa Benki moja hapa lakini yuko bize sana kiasi cha kuchukua hata miezi sita had inane ajapata haki ya ndoa
Naombeni ushauri wapendwa sijui naenda wapi