Sina hamu na mke wangu

Sina hamu na mke wangu

Bolloyank

Member
Joined
May 24, 2015
Posts
46
Reaction score
9
Habari za leo wapendwa,

Nisiwachoshe, nina mke na mtoto mmoja sasa,lakini tangu mke wngu amejifungua mpaka leo yapata mwaka mmoja umepita nimekuwa sina hamu nae kabisa kimapenzi .

Usiniambie kama simpendi nampenda sana mke wangu, ila sipendi kufanya nae mapenzi kabisa na kadri ya siku zinavokwenda tatizo linakuwa kubwa hata kama mechi ikifanyika huwa sirudii rtena kabisa.

Jamani tatizo gani hili ama nifanyeje kurejesha heshima yangu kama zamani?
 
Kuna vitu anavyo mkeo toka amejifungua ndio vimekufanya ukose hamu kama k kubwa au kanenepa sana au kukonda sana au uchafu nk
 
Back
Top Bottom