Cjaweza kujielewa ndo maana nimekuuliza,kwani inanishangaza maana ungeliweza kuwauliza wenyeji.wewe unadhani vipi mkuu
Nishapata mahali wapo ahsante kwa taarifa mkuu uliyenijia PM
![]()
Mkuu huoni hapo Baa na pembeni wanatengeneza kuku choma? Au we we umeona nini?