kataip Senior Member Joined Aug 21, 2013 Posts 150 Reaction score 93 Jul 28, 2015 #1 Hivi inawezekana kuwa mke wa rais kutoka chama kingine? Lowasa baada ya kukatwa kahamia Chadema na my wife wake je kubaki CCM asingekubaliwa? Au kusingekuwa na upendo? Mwenye ujuzi karibu
Hivi inawezekana kuwa mke wa rais kutoka chama kingine? Lowasa baada ya kukatwa kahamia Chadema na my wife wake je kubaki CCM asingekubaliwa? Au kusingekuwa na upendo? Mwenye ujuzi karibu
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jul 28, 2015 #2 Imekaa kisiasa zaidi
kataip Senior Member Joined Aug 21, 2013 Posts 150 Reaction score 93 Jul 28, 2015 Thread starter #3 HARUFU said: Imekaa kisiasa zaidi Click to expand... Hivi mke na mume ni siasa wakiwa wana siasa?
G Gojaga Nize JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 3,177 Reaction score 2,549 Jul 28, 2015 #4 Nimepata kigugumizi kukuelewa
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jul 28, 2015 #5 kataip said: Hivi mke na mume ni siasa wakiwa wana siasa? Click to expand... Wewe kwani chama gani?
kataip Senior Member Joined Aug 21, 2013 Posts 150 Reaction score 93 Jul 28, 2015 Thread starter #6 HARUFU said: Wewe kwani chama gani? Click to expand... Mi nipo ktk muungano
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jul 28, 2015 #7 kataip said: Mi nipo ktk muungano Click to expand... Sawa muungano. Je jina la chama chako?
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,745 Jul 28, 2015 #8 hapo inabidi mama ahame tu hata kama hataki
BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Jul 28, 2015 #9 Baba ni kichwa cha familia.bodi la trekta hufuata kichwa kinakopita.