Wanawake, kwanini mnapenda kusahau chupi bafuni?

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Asilimia kubwa ya wanawake, akimaliza kuoga atafanya na mambo mengine madogo madogo ikiwa ni pamoja na kujiswafi papuchini halafu baada ya hapo akitoka lazima asahau chupi bafuni.

Ni kwanini mna hili tatizo?
 
Wanasahau ama wengi wao wanafua na kuanika huko bafuni?
 
We asilimia kubwa ya wanawake ushaingia mabafuni mwao??!!!!
 
mda mwingine hata hazijafuliwa sasa na zinaachwa huko
 
Hofu na mashaka wote mpo salama....
jamn naombeni mawazo yenu na ushauri kwa ujumla kwa hili, mpenz wangu jmni tuna miaka minne tangu tumeanza uhusiano wetu lakini tunagombana kila siku na sababu kubwa ni simu,,,naomba mniambie kumuhuliza mpenz wako kitu ni vibaya?? mfano,,,upo wapi,,unafanya nini,upo na nani,au mbona haujaniaga, au chochote kile unachojua wew...na ukiuliza hivyo tu unaanza kufokewa na majibu ya kibei je ni vibaya maan akisha foka tu mgomvi unaanza sasa naomba mawazo yenu nifanyeje ili penzi liwe na amani na faraja.
 
Asilimia kubwa ni kiasi gani?
Good question!
Kwa sababu inawezekana kamuona mkewe na mchepuko wake mmoja ama ndugu zake basi anajiaminisha tayari ni a research worth problem, that even deserves a dedicated thread
!
 
Kwa akili yako unataka nianike kwenye chaga au? Na kama nikianika nje namtangazia nani? Na nyumba c zote zenye uzio hata km kunauzio haipaswi kamwe kuweka pichu nje, je hiyo bafu huaga ina sambazwa pichu za kike tu? Na wakiume wanawekaga wapi? Jitafakarin kidogo.
Na huwa kwa nini inaanikwa bafuni.?
 
wale wenye jf waje hapa watuambia km mada imeingiliwa au vp.
 
Hofu na mashaka wote mpo salama....
jamn naombeni mawazo yenu na ushauri kwa ujumla kwa hili, mpenz wangu jmni tuna miaka minne tangu tumeanza uhusiano wetu lakini tunagombana kila siku na sababu kubwa ni simu,,,naomba mniambie kumuhuliza mpenz wako kitu ni vibaya?? mfano,,,upo wapi,,unafanya nini,upo na nani,au mbona haujaniaga, au chochote kile unachojua wew...na ukiuliza hivyo tu unaanza kufokewa na majibu ya kibei je ni vibaya maan akisha foka tu mgomvi unaanza sasa naomba mawazo yenu nifanyeje ili penzi liwe na amani na faraja.

acha kumuuliza hayo maswali
 
Kwa akili yako unataka nianike kwenye chaga au? Na kama nikianika nje namtangazia nani? Na nyumba c zote zenye uzio hata km kunauzio haipaswi kamwe kuweka pichu nje, je hiyo bafu huaga ina sambazwa pichu za kike tu? Na wakiume wanawekaga wapi? Jitafakarin kidogo.
Mbona nimeuliza tu..
wala sijataka kubishana..
 
Asilimia kubwa ya wanawake, akimaliza kuoga atafanya na mambo mengine madogo madogo ikiwa ni pamoja na kujiswafi papuchini halafu baada ya hapo akitoka lazima asahau chupi bafuni.

Ni kwanini mna hili tatizo?

Unaelewa maana ya neno "ASILIMIA KUBWA"

Unakosoa wenzako wakat na wewe hujui kiswahil umeshasema asilimia kubwa (WANASAHAU) kamaumeshajua wanasahau unataka jibu gan kusahau cyo makusud
 
Hivi watu wengine wana matatizo kweli, naungana na mtoa mada mmoja aliyesema kama huna la kusema sio lazima uanzishe thread, ninachoona kwako unakaa uswazi. Wenzako tuna nyumba zetu self contained na ukitoka huko pichu yako lazima ianikwe hukohuko maana kuna sehemu maalum kwa ajili ya hiyo maneno(pichu).

wakati mwingine tofautisha unazungumzia wanawake wa wapi.

TAFAKARI KISHA CHUKUA HATUA.
USICHUKUE HATUA NDIPO UTAFAKARI.
 
Hofu na mashaka wote mpo salama....
jamn naombeni mawazo yenu na ushauri kwa ujumla kwa hili, mpenz wangu jmni tuna miaka minne tangu tumeanza uhusiano wetu lakini tunagombana kila siku na sababu kubwa ni simu,,,naomba mniambie kumuhuliza mpenz wako kitu ni vibaya?? mfano,,,upo wapi,,unafanya nini,upo na nani,au mbona haujaniaga, au chochote kile unachojua wew...na ukiuliza hivyo tu unaanza kufokewa na majibu ya kibei je ni vibaya maan akisha foka tu mgomvi unaanza sasa naomba mawazo yenu nifanyeje ili penzi liwe na amani na faraja.

anzisha uzi wako dada usipende mteremko
 
Back
Top Bottom