Husband material & Wife material, hiyo ni ndoa kamili

Husband material & Wife material, hiyo ni ndoa kamili

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,166
Reaction score
2,670
Sifa yake kubwa hutoa mifano na mwanga kwa wengine, haina show offs nyingi zisizo na staha haina mashindano ya ndani ya ndoa wala nje ya ndoa.

Kipimo upimacho ndicho utakachopimiwa, ukipimwa katika utu ambao Mungu anaupendelea utapimiwa katika mambo ambao hutajuta maishani mwako.Husband material kuoana na wife material ni zawadi kubwa kutoka kwa Mungu.
 
You have a point Bro.

Kwa haraka naona tatizo kubwa kwenye mahusiano ni MATARAJIO YALIOPITILIZA (Too much expectations)

Mtu huyo huyo ANAJISAHAUkuwa na yeye kuna MATARAJIO kutoka kwake kwa mwenzi wake

Watu wanatulia na kuanza kutarajia kutokwa kwa ''WENZA wao'' TU bila kujiuliza ''Hivi na mimi nanavyotarajia mema yoote haya, mwenzangu anaye si ana matarajio kwangu? Basi niwe wa kwanza kumpa anavyotarajia.......badala ya kufanya sehemu yake anaanza kutupa lawama na shutuma kwa mwenzake pale anapoona matarajio yake hayafikiwi (japo mengine ni unrealistic)

Mwishowe kurushia kurushiana shutuma both ends. TOO MUCH EXPECTATIONS has killed so many relationships. Keep your expectations at minimum to create wow!! moments (room for suprise)
 
Sidhani kama vijana wetu watakuelewa labda ungeuweka huu ujumbe kibongofleva na sijui kama utakuwa tayari kuvaa kama wavaavyo.
 
Ni kweli..timiza wajibu kabla ya kuangalia kama haki yako inapatikana..most of us yunakuwa selfish kwa kuangalia tu kuwa tunavyovihitaji kutoka kwa wenzi wetu tunavipataje without looking je how to give wat they wants more
 
Khaa!! Hakuna cha husband wala wife materials ila kuna perfect matches. Kama hizo zingekuwepo watu wangeenda kuzisomea ili kila mmoja awe material. Hao hao mabingwa wa kushauri ndoa za wengine mbona ndoa zao tunaziona zikiyumba?? Jiachie huru usiigize ili atakaye kumaind ajue kabisa ulivyo na utakavyokuwa baadaye.
 
Back
Top Bottom