Wanaume mnanini jamani?

Wanaume mnanini jamani?

dream100

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
27
Reaction score
2
Watoto wengi wa mitaani chanzo ni wazazi kugombana au watoto wengine kukataliwa na baba zao, japo siku izi imekuwa kama business juu ya waombao.

Lakini bado najiuliza kichwani pindi mkiwa juu ya penzi zito na mwanaume yoyote mwenye mke au alie single maneno matamu mpeana na ahadi kibao lakini sasa zote zitafutia ukimgusia niko na mimba yako.

Swali langu ni ili kwani mimba si jambo la baraka? Wapo watafutao usiku na mchana lakini awafanikiwi ivyo vijana wa kiume badilikeni juu ya ili ukila muwa lazima ukute fundo ndo maana ukila kavukavu basi usikatae mimba.
 
Ndo maana baadhi yetu tunakula tigo ili kuepuka hizo mimba dream100
 
Last edited by a moderator:
Ivi unaisi ni sahihi kufanya ivyo je wazazi wetu wangekuwa wanafanya ivyo tungepatikana sisi. Kifupi mbadilike
 
Duuuuh kwani ulitegesha na imekataliwa?!? Huwa hamuwaulizi hao wanaume kama wanataka watoto kwa muda huo mnaobeba mimba?! Makosa ya kubeba mimba ni ya mwanamke siyo mwanaume
 
Wote wawili (Mwanamke na Mwanaume) kila mmoja kuna sehemu yake hakufanya inavyopasa.

Unajua hujaolea, upo kwenye siku za hatari, bado unamruhusu tu afanye ''atakavyo''

Mwanaume kukataa damu yako ni Laana sana. Lazima kila mtu AWAJIBIKE kwa matendo yake.

Eeehh maana hatuna namna nyingine sasa.
 
wewe hukujua kalenda yako kwani, ulitakiwa uhakikishe kama salama imevaliwa
 
Km ww kijana wa kiume au mababa unaejitambua na uitaji kuwa na mtt why ukutane na girl bira kinga ukipenda boga penda na UA lake
 
Mimba ni makubaliano ya wawili. Mkitoana vupi mnjua out come yake. Utakataa mimba ukimwi je?
 
Wote wawili (Mwanamke na Mwanaume) kila mmoja kuna sehemu yake hakufanya inavyopasa.

Unajua hujaolea, upo kwenye siku za hatari, bado unamruhusu tu afanye ''atakavyo''

Mwanaume kukataa damu yako ni Laana sana. Lazima kila mtu AWAJIBIKE kwa matendo yake.

Eeehh maana hatuna namna nyingine sasa.

Kwa kawaida kosa huwa la mwanamke, ni wanaume wachache ambao wanataka watoto alafu wanawakataa, tatizo linakuja wewe umeomba kiburudisho, kwa mbwembwe nyingi na kuombwa fedha mbele unakubaliwa, huyu akiwa anajua siku zake za hatari, nani anataka hamuhesabie hzo siku, kama ana wasiwasi wameambiwa, wakale majivu kabla ya tendo, au akachome sindano, wewe unakuwa na family plan yako huyu akikuingizia mtoto ambaye mama yake hukumpanga inakuwa tabu.
 
Wanaume mna nini? Jibu rahisi kabsaaa tunaUanaume.

Hakuna mwanaume asietaka mtoto ila mtoto na mwanamke gani?
Tunachotaka mtoto,mwanamke kwa wakati sahihi basi ee!
 
Na mwanaume unaanzaanzaje kirahisi tu kufanya ngono zembe kwa staili hio? Afya yako je?

Ok basi haikua mpango wako, Imeshatokea, well and fine, Mtoto ni damu yako, Kumtelekeza kunampa mwanaume uhalali? Nadhani tuwajibike kwa matendo yetu. Mtoto anakosa gani? Ishu yako na mama wa mtoto isije ikamletea mtoto matatizo... Hivi MTU unawezaje kujikimbia mwenye? Hio si damu yako?

sema ndio hivyo thamani ya utu haipo tena kwa wengi siku za leo. Sikubaliani mtoto ateseke kwa starehe zenu.. you have a case to answer to your God.

Kwa kawaida kosa huwa la mwanamke, ni wanaume wachache ambao wanataka watoto alafu wanawakataa, tatizo linakuja wewe umeomba kiburudisho, kwa mbwembwe nyingi na kuombwa fedha mbele unakubaliwa, huyu akiwa anajua siku zake za hatari, nani anataka hamuhesabie hzo siku, kama ana wasiwasi wameambiwa, wakale majivu kabla ya tendo, au akachome sindano, wewe unakuwa na family plan yako huyu akikuingizia mtoto ambaye mama yake hukumpanga inakuwa tabu.
 
embu jaribu kupata mimba moja halafu uje utoe ushuhuda vizur
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom