WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,471
- 1,578
Mimi ni kijana wa 27yrs,nina fanya kazi na kampuni moja hapa mjini.Kuna shemeji yangu mke wa kaka yangu ananizidi miaka km 10 hivi, ni mzuri kwa sura na tabia pia.
Amekuwa shemeji wangu wa karibu sana mpaka kaka yangu akawa ananihisi vibaya.Kiukweli nampenda sana huyu shemeji yangu naye ananipenda na kuniheshimu sana.
Bahati mbaya mwanzoni mwa mwaka huu kaka angu aliugua ugonjwa wa mapafu na bahati mbaya akatangulia mbele ya haki.Baada ya kutokea hivyo nilimfariji sana shemeji yangu kwa kuwa alikuwa katika wakati mgumu.
Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kukaa naye karibu mpaka ndugu wakawa wanawaza nakula huyu shemeji but sikujali maana hakukuwa na ukweli wowote.
Imetokea ndugu zangu kwa sasa wakanichukia sana maana walitaka kuchukua mali za marehemu na kumnyang'anya kila kitu mjane.Sikuunga mkono kitu hicho na nikawa upande wa shemeji kumtetea hadi mahakamani na kesi kwa kweli bado ipo Mahakamani.
Lakini baada ya kuona hivyo ndugu zangu wameogopa kwenda mahakamani katika shauri la mirathi, maana walichukuaga hadi magari ya marehemu wanatakiwa wayarudishe.
Back to the topic,
Kwasasa naona dalili za laivu kabisa shemeji ananihitaji kiasi flani, (kiukweli hata mimi nampenda).
Ananiulizia sana kama nampenda na anasema ananiamini sana kuliko ndugu wengine wote wa mme. Kwasababu nimekuwa naye karibu katika mambo mengi sana.
Usiku huu wa leo kanitumia sms ananiulizia kama nampenda, nimejibu kwa mafumbo, kwa mbali namwona kama anatakiwa kuliwazwa.Niko kwenye confusion sana, namheshimu naye ananiheshimu sana hadi anaona aibu kuniambia ukweli.
Simaanishi kapotoka ila naona hamu yake kama binadamu anayehitaji haki yake pia.Niko dialema wakuu, je nimpunguzie shemeji maumivu au nami niume jiwe tu.
Kila mtu anammezea mate mwenzake? Shemeji ni mzuri na wanafahamiana na msichana wangu pia!