mtoto mpole
JF-Expert Member
- Mar 22, 2010
- 678
- 148
Mfano, una ndoa ya miaka 4 na kwa kweli kwa sector ya kufanya mapenzi, tumeshiriki vizuri sana.
Sasa unataka kubadilika unataka kufanya mahusiano yetu yazidi haswa, hahahaha yaani kuwa romantic na kuyatendea haki mapenzi, unataka kuzungumza na mumeo ili sasa mzidi kuwa na mapenzi moto moto, je utaanzaje?
Mind you kuchepuka hutaki kabisa, nipeni hints wanawake wenzangu, naongeaje na mume tubadilishe life style ya mapenzi.