Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadada wa Leo wapo tayari kugawa uchi kwa yoyote kwa wakati wowote ila sio kugawa I phone kwa yoyote.. Wengi sana wanalika ili kududunduliza kununua I phone 15 hii ni aibu Acheni, ni mbaya
5 Reactions
65 Replies
2K Views
Nimekutana na majuto ya kijana aliyekua akimsikiliza kila kitu mama yake mpaka akavunja ndoa na kutelekeza watoto
6 Reactions
13 Replies
577 Views
Wanaume wezangu mwanamke akikusaliti achana nae hakuna kubembeleza hata kama mna watoto 10 mmeishi miaka 12 usisamehe daima utajutia baadae, usaliti ni sawa na mchawi akianza kula nyama tu haachi...
17 Reactions
87 Replies
3K Views
Kuna vipindi youtube sijui challenge kufahamu kama kuna mapenzi ya kweli. Unaweza kujua ni utani au maigizo yani wasio kuwa kwenye ndoa walio kuwa kwenye ndoa ni kama wapo group moja la wasaliti...
6 Reactions
28 Replies
999 Views
Nimekopi meseji kama nilivyoipokea. ************ Dada shikamoo, Miaka 4 iliyopita niliolewa na mwanaume wa Kitanzania anayeishi South Africa. Nimezaa naye mtoto mmoja na nina ujauzito wa mtoto...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Maisha hapa duniani kila sehemu kuna wazuri na wabaya, katika hali ya kawaida tunapokuwa na wake, wapenzi, na wachumba, huwa hatuwafugi wala kuwachunga kama mifugo, na pia katika maisha kuna kuwa...
8 Reactions
93 Replies
7K Views
Za jioni wandugu Wanasema kisichokuua kinakufanya uwe ngangari Mimi mwana JF mwenzenu leo hii nimeamua kujipa adhabu kali ambayo inanitisha na kunifurahisha kwa pamoja mpaka sielewi kabisa In...
29 Reactions
170 Replies
5K Views
I will be short ukitaka nuksi, tembea na mwanamke aliye toa mimba, yani amna kitu kitaenda, kama ni business kila siku mambo magumu, ukiajiliwa ndo kabisa, life utoboi wanawake wengi walio toa...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Kama Mwanaume Kitu unachotakiwa kukilinda kuliko vyote ni Uanaume Wako. Terrence Howard, Muigizaji huko America.
8 Reactions
57 Replies
2K Views
Uchunguzi wangu wa muda mfupi unaonyesha kuwa huku mitaani kuna upungufu mkubwa wa wanawake wenye mimba. Hii maanake ni kwamba wanawake hawa hawaingiliwi na wanaume zao. Nikajaribu kufanya...
17 Reactions
44 Replies
2K Views
Kila mtu na mnyonge wake! Hakuna watu wa ajabu wanajikutaga kama wanajeshi, kujimwambafy kwingi mara wakiwa bar kujishaua kwingi na vipesa vyao vya kawaida sana. wakipanga mtaani vurugu nyingi...
9 Reactions
63 Replies
5K Views
Katika mahusiano mengi ya watu wanaoishi kinyumba, mara nyingi mwanaume anaendelea kubaki na mwanamke hata kama moyoni alishamaliza safari—si kwa sababu ya mapenzi, bali kwa huruma. Unakuta kabisa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana nilivyoandika uzi wangu wa kuwaaga, kuna mtu alisema atamiss vimbwanga vyangu, basi acha niwape cha mwisho cha kuwaagia kwa mwezi March - true story. Nilivyoingia chuo mwaka wa kwanza...
42 Reactions
344 Replies
20K Views
Wanaume njooni, leo weekend yangu imeanza kuchangamka mapema 🍷🍾 acha nitoe dukuduku la moyoni. Jirani yangu ambaye ndiyo tulikua tunafikiri ndoa yake iko imara hapa mtaani amegundua mume wake ana...
20 Reactions
225 Replies
8K Views
Watu wengi wanaingia kwenye mahusiano wakiwa na moyo mweupe, wanafikiria watawapenda wenzao kwa roho yote na matokeo yatakuwa happy ending kama zile fairy tales. But kwenye real life bro, vitu ni...
13 Reactions
23 Replies
1K Views
Mimi ni mbabaz wa miaka 39, sijaoa lakini naishi na mwanamke ambaye naweza kusema kuwa ni kama mke wangu kwani nilishamtolea mahari, tumeishi pamoja kwa miaka kumi bila ndoa, sikuona umuhimu wa...
25 Reactions
89 Replies
5K Views
Matumaini yangu mlio wengi humu ndani mlikua na weekend njema. Ni miaka sita sasa tangu nimeoa na nimebarikiwa kua na watoto wawili. Kabla sijaoa nilikua nna marafiki wengi na bahati nzuri rafiki...
22 Reactions
128 Replies
8K Views
Mwanaume kushinda nyumbani umelala au kuangalia TV ni hatari kuliko maelezo. Uwe umeoa au hujaoa, haitakiwi kabisa ukae nyumbani mchana umeangaliana na mkeo, dada zako, shemeji yako, wazazi wako...
20 Reactions
74 Replies
4K Views
Yaani binti anapohojiwa na ripota wa online media asipotaja hili neno ni kama anawashwa washwa hivi. Hili neno linakifu mjue😮 Sasa leo nawuliza mabinti waliomo humu sababu inayowafanya walitumie...
12 Reactions
77 Replies
2K Views
Nyiee......tusichoshane kwa salamu bana kwanza huwa haisaidii kitu. Ninakuandikia huu mkasa wa kweli kabisa ulionikuta mimi mwenyewe. Mwaka wa kwanza tu tangu yule mwamba kutoka Chato amechukua...
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Back
Top Bottom