Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii imenitokea wakati fulani alipokuwa mbali, ila kwa sasa yupo. Ila nae huwa anavaa zangu mara kwa mara. Wala si huyu tu bali hata wa wale wa awali walipenda kuvaa kufuli zangu.
0 Reactions
65 Replies
13K Views
Habari zenu wana JF, Mimi ni kijana bado kilichonifanya nije kuomba ushauri ni kwamba tangu mdogo nimekuwa nikipitia wakati mgumu sana kwenye mahusiano. Ukweli ni kwamba sijawahi kutoka...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Ni hivi nimekuwa na mahusiano na mwanaume ambaye tulitengana kwa miaka kumi, na mwanaume wangu wa kwanza nilimpenda sana. Lakini kuna mambo yalitokea tukatengana akawa na ana watoto wawili...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wanajamvi naomba mnisaidie hili nimshauri rafiki yangu kwani yupo njia panda. Rafiki yangu ana elimu yake ni diploma, ni mwajiriwa wa serikali, ana girlfriend mwenye kiwango cha elimu cha...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari ya jumapili ndugu zangu, Namshukuru Mungu mi ni mzima ila naamini hata nyinyi ni wazima na kwa wale walio wagonjwa nawapa pole Mungu awaponye.Naomba ndugu zangu tusaidiane katika hili...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Natumainia ni wazima wa afya, Kuna wanawake hawa nashindwa sana kuwatofautisha yani unakuta mtu anasema yule mwanamke ni malaya sana na mwingine anasema yule mwanamke ni kahaba. Sasa nataka...
0 Reactions
13 Replies
14K Views
We all go through ups and downs in our relationships. Sometimes, a little encouragement is all we need to get through the tough times. So we’ve put together 8 great quotes from Pinterest that will...
4 Reactions
5 Replies
16K Views
Wanawake Wa .Com Wanatia Kinyaa Kwakweli.Mwanamke Hatosheki Hata Umpe Nini Au Umfanyie Nini?.Khaaa! Kila Unachohitaji Nakupa.Ukiwa Na Shida Niko Radhi Nijinyime Mimi Mahtaji Yangu Lakini...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Amani ya bwana iwe nanyi wadau, tukiwa tunaelekea katika msimu wa sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya;ni dhahiri shahiri kwamba kila mmoja wetu angependa kumpa/kumpelekea mpenzi wake /mwenza wake...
0 Reactions
68 Replies
72K Views
Mwandella mayo, Natumaini mko waazima wa afya na mnaendelea na mihangaiko yenu ya kuwapa ugali wa kila siku Nimewamisije akina cousini wangu charminglady Passion Lady sweety lady jamani hebu...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari za wana JF. Naombeni msaada mwenye number ya mdada Recho mwimbaji wa nyimbo za kibongo anitumie au anipe. Maana kati ya wasanii wa kibongo wa kike nampenda sana huyu dada naombeni...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Asanteni kwa ushirikiano ila nimejifunza mengi sana humu Jf sikukata tamaa.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za wakuu, Zamani enzi za wazazi wetu wanawake walikuwa wakiona kuwa mwanaume ni kichwa cha familia na kiongozi na walikuwa wakiheshimu waume wao sana kwakuwa waliwasikiliza waume wao...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Penzi changa lina raha sana, nyakati tamu za kukumbukwa, candle light dinner, vijizawadi na vikwerombezwo vingine. Je,wewe unakumbuka nini kwenye mapenzi machanga?
2 Reactions
80 Replies
11K Views
Is it right for a wife to go for a night out, while the man stays home?
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Habari wana Jf! Mimi huwa siwaelewi wanaume,niseme baadhi yao kwa kulalamika.Baadhi ya wanaume hulalamika pindi wanapoombwa pesa na wapenzi wao eti kwa kuwa tangu waanze uhusiano wana muda mfupi...
4 Reactions
69 Replies
6K Views
Walimu Mabeki tatu ( house maids / house girls ) Karibuni tuchangie japo mimi bado ni mgeni kwenu humu.
2 Reactions
52 Replies
7K Views
AMENITUMIA MESEJI HII:ndugu mteja kifurushi chako cha kuwa macho kimekwisha.tafadhari panda kitandani uje unikumbatie na nikuunganishie kifurushi cha mahaba na ujipatie bonus ya utamu wa zaidi ya...
0 Reactions
41 Replies
11K Views
Wakuu, Natumaini mko poa mnaendelea vyema na weekend zenu. Nilikorofishana na mwanamke wangu nikajua ni upepo utapita tu ila naona mtu kabadilika ghafla masharti yamekua mengi. Juzi...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Nimekumbwa na jini gani mimi jamani, nipeni ushauri maana, Mimi sio mgeni wa mapenzi bali mapenzi ndo yananitia uchizi, nimeanza kumpenda dada mmoja kitaani kwetu nikiwa na umri wa miaka 11...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…