man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 463
- 319
Wakuu,
Natumaini mko poa mnaendelea vyema na weekend zenu.
Nilikorofishana na mwanamke wangu nikajua ni upepo utapita tu ila naona mtu kabadilika ghafla masharti yamekua mengi.
Juzi nimemwomba tuonane kanambia kwasasa yupo busy mpaka mwezi ujao,kweli kuna uhusiano hapa au wajanja wameniwai?