Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam, Natumaini mu bukheri wa afya ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye mada: Natafuta mpenzi, awe dada wa makamo anayenizidi umri, hivyo kwa makadirio awe kati ya 26-35, binafsi nina miaka 25, ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndg wanaJF naombeni msaada wenu wa mawazo na wa haraka juu ya tatizo lifuatalo. Nimejiwa na rafiki yangu asubuhi na mapema leo kuniomba ushauri ambao kutokana na ugumu niliokutana nao, imebidi...
0 Reactions
66 Replies
9K Views
Niiukweli wenye mashiko na tafiti zimethibitisha pia kuwa kwa kumweka mpenzi wako au mke wako mbele, kumtambulisha kwa wanawake wenzake kuwa ni mke wako, kuonyesha wazi na dhahiri kuwa unampenda...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu Ni kwa muda sasa nimekua mwanachama wa huu "mtandao" pendwa JF.Kilichonifanya nije mbele yenu wadau ni huu uraibu "addiction" ambao nimeutengeneza kutokana na hii JF. Imefika...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Huyu Dada ni mfanyakazi serikalini, ana nafasi nzuri tu kikazi. Katika kujuana nikawa nimempenda nikaona isiwe tabu ni muda muafaka nimueleze ukweli. Ni mwanamke asiye na shida wala njaa kwa...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Natafuta rafiki mtu mzima anayeweza kuwa mke wangu endapo tutaelewana. Nipm.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sina maneno marefu sana. Moyo wangu uko barazani kusubiri ugeni wa mrembo wa ukweli tufurahie maisha. Mdomo wangu mzito nisiulizwe maswali mengi. Wewe msichana wa ukweli tukutane PM NB: Nahitaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenyu wadau, Naombeni muongozo katika hili, ninatarajia kufunga pingu za maisha mnamo Novemba mwaka huu panapo majaliwa. Nataka kujua bibi harusi anatakiwa vitu gani katika kipengele cha...
1 Reactions
46 Replies
32K Views
Habari wana Jf, Imekuwa ni kawaida kusikia mwanaume akimikiki mwanamke zaidi ya mmoja iwe kihalali kama waislam au kiutamaduni au hata wakristu ana mmoja lakini anavipoozeo zaidi ya yule wa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna rafiki yangu aliniambiaga nimtafutie kazi, sasa juzi kuna kazi niliipata mshahara ni laki 7. Nikamfuata ili kumpa habari hii njema. Ila kabla sijamtajia mshahara nilimuuliza kama...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Yan nimepatwa na hasira sana maana kuna hiki kijitabia ambacho wanawake wengi wanacho hasa wale wanaofanya kazi kwenye taasisi za kiserikali. Unakuta mtu umeenda kufanya jambo kwenye ofisi ya...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Sina kazi na ninaishi kiujanja ujanja. Juzi usiku nilipata ajali nikitoka bar, gharama za matengenezo ni million 2. Kichwa kinanipasuka, sijui hata la kufanya.
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Natafuta mke mtanzania tuishi wote hapa USA. Umri wangu miaka 40 na yeye awe na miaka kuanzia 26 mpaka 35 Awe Muarabu au half cast, awe Muislam Serious please tuwasiliane PM
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Je, mwanamke akikuhonga kitu anachokithamini sana ni kwamba; 1. Anakupenda? 2. Anakujali? 3. Anakuzuga tu? 4. Anaonyesha kuwa matawi ya juu? 5. Anakudanganya ili wewe umuhonge zaidi? Majibu...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Kati ya asubuhi au mchana na jioni, maana nyakati zote zimeniwia ngumu asubuhi mtu ndio anaamka na mipandilio ya kazi pengine,mchana au jioni kazi zimemalizika ana uchovu, au jpili mtu katoka...
1 Reactions
70 Replies
12K Views
Habari zenu wana JF, Nakumbuka kuna kipindi niliwasifia sana wanawake wa Dar, na nikawasihi ambao bado hawajaoa waje kuoa wanawake wa Dar kwa kuwa ni wazuri sana. Ila sasa kilichonitokea mimi na...
0 Reactions
58 Replies
9K Views
Habarini wanandugu woote wa humu ndani. Mara nyingi nimesikia maneno haya ya vinywani mwa watu kuwa ukimpata mwanamke mzuri lazima uwe roho juu na lazima uumie kichwa mara kwa mara. Na...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
I'm looking for a girlfriend, 17- 20 years. Nicheki Pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WANAWAKE WANAVYOPELEKEA KUPUNGUA KWA NGUVU ZA KIUME 1: KAULI Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke...
9 Reactions
50 Replies
10K Views
Habari wadau, Kuna msichana nimeanzisha nae uhusiano takribani sasa tunaenda mwezi wanne kama si watano. Kiukweli huyu msichana ananivutia kwa kila alichonacho na barikiwa na Mungu ila tatizo...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom