kalamu na karatasi
Member
- Jul 26, 2015
- 49
- 30
Wakuu Habari za Jumapili
Hii ni Sehemu Fupi tu ya Simulizi ya Kusisimua na Yenye Mafunzo Mengi Ndani yake iitwayo "NAFSI NIELEWE"
Isome kisha utoe Maoni Yako
"Kila mmoja anajua kuwa Ulemavu si Laana..."Kwani kila atupacho Manani kina maana na sababu kubwa hata kikawepo..."
NAFSI sina miguu yote Miwili
..Jicho langu la kushoto nilipoteza katika Vita pevu na ya kishujaa ya Kuipigania Nchi yangu hii TUKUFU..
Lakini Nafsi pamoja na kujitambua na kuamua kufanya kazi zangu ndogondogo za kupata Rizki nile na wanangu....NAFSI umewafata hao unaowaita viongozi na kuwapa sheria za kulizuia hili nilifanyalo...
Hivi NAFSI unataka na mimi kuniona naomba barabarani kama wafanyavyo wengine ndio ufurahi....?au ni Vipi NAFSI...Ujue sikuelew kabisa ndugu...sikuelewi..!!!
Toa maoni yako
Naeza pia kukutumia kwa E-mail Simulizi Yote
Ni sms 0655 08 02 90