Mambo 10 ya kufanya kabla hujafika miaka 28

Mambo 10 ya kufanya kabla hujafika miaka 28

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
878
Reaction score
653
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha.

2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye.

3. Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji.

4. Achana na starehe zisizo na maana au showoff kwa wadada.

5. Jali sana afya yako.

6. Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo.

7. Anza kununua asset kama vile ardhi, kitanda, vyombo vya nyumbani n.k

8. Jifunze kuvaa kwa heshima na si tu suala la kupendeza.

9. Acha mambo ya kitoto.

10. Zingatia sana muda wako.

Hapana unaanza kujiandalia future yako mapema. ni mawazo huru kama yanakuchefua pita kushoto.
 
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha.

2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye.

3. Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji.

4. Achana na starehe zisizo na maana au showoff kwa wadada.

5. Jali sana afya yako.

6. Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo.

7. Anza kununua asset kama vile ardhi,
kitanda, vyombo vya nyumbani n.k

8. Jifunze kuvaa kwa heshima na si tu suala la kupendeza.

9. Acha mambo ya kitoto.

10. Zingatia sana muda wako.

I hear that.
 
kwa maisha ya kibongo mipango inayohitaj hela ni ndoto kwa vijana kwa umri huo.
km sio kipind mtu bado yupo chuo, atakuwa amemaliza punde na hana hela wala kazi.
 
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha.

2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye.

3. Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji.

4. Achana na starehe zisizo na maana au showoff kwa wadada.

5. Jali sana afya yako.

6. Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo.

7. Anza kununua asset kama vile ardhi, kitanda, vyombo vya nyumbani n.k

8. Jifunze kuvaa kwa heshima na si tu suala la kupendeza.

9. Acha mambo ya kitoto.

10. Zingatia sana muda wako.

Caution yako ni workable kwa mtu anayetoka kwenye familia masikini. Maana all those ten commandments zinalenga kufanya saving! To avoid extravagance! I am I right?
 
Ngoja nianze kubadilika mapema kabla hiyo 28 haijafika
 
Ikiwa age ya 28 unatafuta mpenzi, utaoa lini....
 
Back
Top Bottom