Eti mwanamama ameshaishi na mmewe kwa miaka kadhaa bila kufunga ndoa na wana watoto.
Cha ajabu siku watakapoamua kufunga ndoa, ule utaratibu wao wa kitchen party unajitokeza tena.
Kama maana...
Naomba niingie moja kwa moja kwenye mada KAMA IFUATAVYO:
Nimeoa na nina mke na mtoto mmoja, niko na mke wangu kwa miaka 6 sasa.Ni mtu ambaye tumetoka kijiji kimoja na shule tulisoma shule moja...
We can chat en share some experiences via watsappp by
+255714842163
mind cant be generated by u're own idea or by ze same same friends ...bt try to oversea other boundaries.....by'' abraham lincolin''
Habarini za jumatatu,
Kuna mdada mmoja ni jirani yangu ana mume na watoto, mara nyingi nimekuwa nikimsaidia kumrekebishia simu yake(Android) kutokana na yeye kushindwa kujua baahi...
Ladies and Gentlemen,
Allow me to introduce myself to you. My name is Idris Aiden from Kenya. Currently I live here in Arusha with a lady I met few months ago in Nairobi at Bougainvillea hotel...
Hii ni status ya mdada mmoja hivi hapa mjini yakaribia miezi 6 sasa ameiweka kwenye social media zake,huyu dada ninavyomfahamu anaishi na mume wa mtu, masikini mke wake kokote uliko hulijui hili...
Habar za mihangaiko na michakariko ya pale wanaJF,
Hivi ni kwanini hutokea wapenzi wanapokuwa pamoja wanafanya vitu kama wagonjwa wa akili? Je, ni hisia furaha au mapenzi ndio hufanya kazi ya...
habari zenu wanajamvi...
Ninaimani muwazima wa afya.... dhumuni La kukimbiliaa apa jamvini, kwa mdada ambaye yupo single naomba ani PM maana nahitaji Faraja..
Nimwaka sasa toka niachane...
Naongea na nyie watu, wadada!
Maana, mnavigezo nyie hadi basi, utasikia kama huna mshahara wenye digit 7, mimi hapana.Jamani si nenda kwa yeyote alafu haya mengine yatafuata.
Ukikutana na...
Hii imenitokea wakati fulani alipokuwa mbali, ila kwa sasa yupo. Ila nae huwa anavaa zangu mara kwa mara.
Wala si huyu tu bali hata wa wale wa awali walipenda kuvaa kufuli zangu.
Habari zenu wana JF,
Mimi ni kijana bado kilichonifanya nije kuomba ushauri ni kwamba tangu mdogo nimekuwa nikipitia wakati mgumu sana kwenye mahusiano.
Ukweli ni kwamba sijawahi kutoka...
Ni hivi nimekuwa na mahusiano na mwanaume ambaye tulitengana kwa miaka kumi, na mwanaume wangu wa kwanza nilimpenda sana.
Lakini kuna mambo yalitokea tukatengana akawa na ana watoto wawili...
Wanajamvi naomba mnisaidie hili nimshauri rafiki yangu kwani yupo njia panda.
Rafiki yangu ana elimu yake ni diploma, ni mwajiriwa wa serikali, ana girlfriend mwenye kiwango cha elimu cha...
Habari ya jumapili ndugu zangu,
Namshukuru Mungu mi ni mzima ila naamini hata nyinyi ni wazima na kwa wale walio wagonjwa nawapa pole Mungu awaponye.Naomba ndugu zangu tusaidiane katika hili...
Natumainia ni wazima wa afya,
Kuna wanawake hawa nashindwa sana kuwatofautisha yani unakuta mtu anasema yule mwanamke ni malaya sana na mwingine anasema yule mwanamke ni kahaba.
Sasa nataka...
We all go through ups and downs in our relationships. Sometimes, a little encouragement is all we need to get through the tough times. So weve put together 8 great quotes from Pinterest that will...
Wanawake Wa .Com Wanatia Kinyaa Kwakweli.Mwanamke Hatosheki Hata Umpe Nini Au Umfanyie Nini?.Khaaa!
Kila Unachohitaji Nakupa.Ukiwa Na Shida Niko Radhi Nijinyime Mimi Mahtaji Yangu Lakini...