Nini Maana Yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini Maana Yake?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Hmaster, Jan 26, 2011.

 1. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Eti mwanamama ameshaishi na mmewe kwa miaka kadhaa bila kufunga ndoa na wana watoto.

  Cha ajabu siku watakapoamua kufunga ndoa, ule utaratibu wao wa kitchen party unajitokeza tena.

  Kama maana ya kitchen party ni mafunzo kabla ya namna ya kuishi na mume, kwa wakati huu yanakuwa na maana gani tena?

  Kama zawadi si wakampelekee ukumbini?
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nadhani hapo wanataka kufuata utaratibu tu wa kupitia mambo hayo kabla ya ndoa ingawa haina maana sana kwa wengine maana hakuna mantiki ya kufanyiwa kitchen party wakati unajua mambo yote ya nyumba.
  Wanasema,mambo ya Ngoswe...................................!!!!!
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ushasema ni kitchen party = party ya jikoni...........lazima iwepo bana!
   
 4. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  wastage of time, ammabo yanafanyika sio kwa umhimu bali kwa mazoelea tu
   
 5. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Si zawadi za jikoni tu anapewa na wanawake wenzie?
   
 6. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  ni ufujaji wa rasilimali tu hakuna kingine hapo :car:
   
 7. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hamna kitu hapa..kasumba tu
   
 8. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  zinazoishiaga bar sio ufujaji?

  haina hata gharama yoyote maana pombe hainyeki hapa na most of the tym ni bite tuu zinalika!
   
 9. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  halafu wanachapisha na kadi za mchango,,,,wizi mtupu
  unapasha kiporo kwa vigelegele???
   
 10. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mh jamani wakaka mbona na nyie mna bachelor party?
   
 11. Sara

  Sara JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2015
  Joined: Aug 3, 2014
  Messages: 761
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 80
  Hata mi nashangaa sana, alafu unakuta ni jimama la miaka hadi 45 lina watoto wa kidato?!
   
 12. d

  dada dori JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2015
  Joined: Mar 26, 2015
  Messages: 233
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Education is an endless process.Kufundwa ni muhimu maana wengine huwa kuna mambo mengine hawayajui.
   
 13. JembePoli

  JembePoli JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2015
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 1,290
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Katiba mpya hiyo kitu hakuna dadeki
   
 14. k

  khaleesy mangi Member

  #14
  Aug 11, 2015
  Joined: May 27, 2015
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hamna kitu ni kutesana na michangooooo tu woiiii
   
Loading...