Hivi ni nini maana ya mapenzi?

Hivi ni nini maana ya mapenzi?

Habari za muda huu ndugu zangu
Nina neno japo ni mgeni ktk maeneo ya kujidai kama haya ambalo ni hili
Kabla ujaanza kuingia ktk ulimwengu wa raha basi lazima uweze kukabiliana na changamoto zitakazo kukumba ili uweze kuzifikia raha unazoziitaji.
Mapenzi ni kitu kizuri sana na chenye raha ya aina yake lakini changamoto zake ni hatari sana kwa afya yako na hata uhai
Mapenzi ni uvumilivu
Je wewe unafikiri mapenz ni nin
 
Mapenzi ni khar ya kupenda kitu fulan.ndani yake sasa unakutana na mambo kama uvumilivu, heshima, usaf n.k
 
Mapenzi inategemea na aina ya mtu mfano
kwa mwanamke maana yake ni hela outings zawadi caring ila haswa haswa hela

kwa wanaume mapenzi maana yake ni kugegedana tu

Hii inamaanisha mwanamke akikwambia mwanaume huyu anajua kupenda maana yake hajifikirii kutoa hela
Kwa mwanaume maana yake anajua na anayaweza kunako 6 X 6

huu ndio ukweli kama hutaki utakua ccm tu wewe
 
- Mkuu Uwetisha,.
 
Nashukuru kwa maana nzuri nadhani kwa wakati huu inatamba hii maana kwa kias kikubwa
 
...hisia za upendo za mtu juu ya mtu fulani(mzazi,ndugu,rafiki n.k) katika hali ya kuchukuliana na kutojali mapungufu au ubora wa mtu apendwaye.
 
Mapenzi ni upofu na ni maumivu! Nikisema upofu na maanisha unaweza kumpenda mtu afu rafiki yako akasema aaaah! Mbona hapo umepotea ww unamuona anafaa yeye anaona afai! Mwisho kabisa ninaposema maumivi ni pale unapompenda mtu afu akakutosa lazima utajisikia maumivu makali sana kwenye moyo wako! Ni hayo tu mkuu
 
care and share..!

hii ndio maana kamili, ukiitumia hutapata shida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom