Kwanini pete ya ndoa huvaliwa mkono wa kushoto kidole cha pili kutoka cha mwisho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini pete ya ndoa huvaliwa mkono wa kushoto kidole cha pili kutoka cha mwisho?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Malyamungu, Jul 14, 2009.

 1. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii kama siyo kuirudisha hii hoja basi naomba msaada katika hili.

  Ni kwa nini pete yando huvaliwa mkono wa kushoto kidole chapili kutoka cha mwisho??

  Lugha yaweza ikawa kikwazo lakini ujumbe unaejieleza.
  Thak you.
   
 2. b

  bnhai JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Mie navaa mkono wa kulia, kwahiyo kwangu ni uamuzi
   
 3. Zikwe

  Zikwe Senior Member

  #3
  Aug 14, 2015
  Joined: Mar 13, 2013
  Messages: 196
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Wanajukwaaa hili la Mahusiano,

  Kama tittle inavyosema kiukweli mimi binafsi sijui ni kwanini ipo hivi.Kwahiyo kama kuna ukweli wa aina yoyote kuhusu hili naomba nijuzwe kwa faida yangu na ya wengi pia .

  Kwani mkono wa kulia una nini mpaka watumie wa kushoto na kwanini ni kidole cha pili kutoka mwisho yani kutoka kile kidole kidogo.

  Naomba wale manguli wa mahusiano na wenye uelewa mpana kuhusu hili mtujuze sisi ambao hatufahamu

  ASANTE
   
 4. l

  lawrencegucci Member

  #4
  Aug 14, 2015
  Joined: Jul 31, 2015
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oky ...ni kwamba mkono wa kushoto kidole cha pili kutoka mwisho kuna mfupa maalumu ambao umeunganishwa na moyo ..ambapo moyo ndio tunaamini unatumika katika mapenzi/kupenda so kuna connection moja kwa moja kutoka kwenye moyo na kidole cha pete
   
 5. Kitang'wa1

  Kitang'wa1 JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2015
  Joined: Dec 4, 2014
  Messages: 460
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 60
  Mhh! Wewe Jamaa, jibu lako hata sikulitegemea, yaani lipo kiundani na kitaalamu zaidi. Kama hautajali ufafanue zaidi, ama kama wapo wanaojua zaidi watujuze.
  Ahsante!
   
 6. e

  erasto maternus New Member

  #6
  Aug 14, 2015
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mfupa au mshipa? Maelezo yote ni yenyewe
   
 7. mapugilo

  mapugilo Senior Member

  #7
  Aug 14, 2015
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kaz ya moyo ni kupampu damu cyo kupenda au kuchukia mtu
   
 8. Rahim Jr

  Rahim Jr JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2015
  Joined: May 16, 2015
  Messages: 565
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Aisee kama ndivyo iko poa sana sikutegemea jibu kama hilo asante sana
   
 9. l

  lawrencegucci Member

  #9
  Aug 14, 2015
  Joined: Jul 31, 2015
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mishipa pamoja na mfupa coz kidole pia kina mfupa
   
 10. l

  lawrencegucci Member

  #10
  Aug 14, 2015
  Joined: Jul 31, 2015
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo maana nikasema tunaamini nadharia ya mapenzi inatoka moyoni japo ni kweli kazi ya moyo ni kupampu damu
   
 11. l

  lawrencegucci Member

  #11
  Aug 14, 2015
  Joined: Jul 31, 2015
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kiongozi subr watasha waje wakupe kiundani zaid
   
 12. mamii2

  mamii2 JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2015
  Joined: May 7, 2014
  Messages: 356
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kumbeeh,!
   
 13. beefinjector

  beefinjector JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2015
  Joined: Jul 23, 2009
  Messages: 1,140
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 180
  Kweli kabisa Mkuu, binadamu huwa wanausingizia moyo wakati wala sio kazi yake kupenda au kuchukia. Kupenda ni kiherehere tu cha binadamu.
   
 14. beefinjector

  beefinjector JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2015
  Joined: Jul 23, 2009
  Messages: 1,140
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 180
  Mkuu, hakuna mfupa wala mshipa unaotoka kwenye kidole kwenda moja kwa moja kwenye moyo. Elementary Biology.
   
 15. nelly poul

  nelly poul JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2015
  Joined: Jan 3, 2015
  Messages: 1,206
  Likes Received: 781
  Trophy Points: 280
  kinachohusika na kupenda kwenye mwili wa binadamu nini?
   
Loading...