Maskini mimi, nikitafuta mchumba huku nakosa kwanini?

Maskini mimi, nikitafuta mchumba huku nakosa kwanini?

HMJ

Senior Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
157
Reaction score
21
Kwa wenzengu furaha lakini kwangu nina nini maana kila nikijaribu kutafuta mchumba humu nakosa mpaka najiuliza kwani humu mnaenda kwa kujuana?
 
Kwa wenzengu furaha lakin kwangu mnh maana kila nikijaribu kutafuta mchumba humu nakosa mpaka najiuliza kwan humu munaenda kwa kujuana?

Punguza pressure wako hajajitokeza ila yupo
 
Kwa wenzengu furaha lakin kwangu mnh maana kila nikijaribu kutafuta mchumba humu nakosa mpaka najiuliza kwan humu munaenda kwa kujuana?

sema una hela,upate mke bora wa kuoa
 
Kwani wew nani na nani walikwambia wamepata wachumba humu???? Tafuta mtaani kisha muulize kama ni member humu akisema sio member muadd kisha jipongeze.
 
Njoo nikupe dawa inaitwa mfatambi ww mwenyewe utawakataa hakuna wa kuchomoa
 
MUHUBIRI 3:1 "kwa kila jambo kuna majira yake, na wakati kwa kila kusudi chini ys mbingu"

11 "kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake, tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao,ila kwa jinsi mwanadamu asivyoweza kuivumbua kazi ya Mungu anayoifanya,tangu mwanzo hata mwisho"
 
Kwa kuwa wewe ni member humu, na kwamba unatafuta mchumba,na kwamba hujampata, hudhani kwamba hiyo request hujawahi kujitumia mwenyewe ili uwe mchumba wako mwenyewe?
 
Back
Top Bottom