Mrejesho: Safari ya mateso katika mahusiano yangu

Mrejesho: Safari ya mateso katika mahusiano yangu

Wise Person

Senior Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
101
Reaction score
86
Habari ndugu wanajukwaa,

Poleni na majukumu. Nimshukuru Mungu kwa wakati huu. ninawashukuru pia ndugu mlio changia nakutoa mawazo yenu tofauti tofauti. Niwashukuru wote kwa ujumla zaidi sana wale waliopata utulivu na kutafakari kwa kina juu ya habari ile na kutoa ushauri mzuri kama watu matured,walioelimika wenye busara na hekima.

Leo nimekuja na mrejesho wa ile safari yangu ya mateso katika mahusiano yangu. Nmeleta mrejesho kwenu mlionimba nifanye hivyo nilikua nisilete coz sikupenda baadhi ya comment but nawaheshimu mno niheshimu dts y wise person z back. Namsay!!

Ok siku Ile Angel na Tobbi walinifuata baada ya muda mrefu kidogo kupita na angel akitaka tuendelee kuwasiliana kama marafiki wa kawaida.

Nilikataa katakata nikamwambia siwezi kabisa kufanya hivyo nitazidi kuumia bora uende nijue nimekupoteza for good. Coz jana ulkua mpenzi wangu nilikua nakuita mpenzi darling etc leo nikuite rafiki kwangu haiji na siwezi kabisa. Nikamwambia mimi nimekusamehe kwa yote uliyonitendea.

Ninaomba unisamehe na wewe kama kuna chochote nilikukosea akaniambia hujanikosea chochote.Sikutaka kuendelea kuongea.Akawa anazidi kunibembeleza anaomba tuwe tunawasiliana.

Nikamwambia Angel naomba unisaidie kitu.Akasema sema chochote mpenz, nikampa simu yangu nikamwambia tafuta namba zako huko me sitaki kuona hakikisha umezipata then futa.Delete na text zako zote na conversation zote btwn me n u. Coz mimi siwez kufanya hvyo.

Nikamwambia ukimaliza niambie nikajitenga nae.Alikua hataki ila alipoona nimemaanisha akafuta then akanimbia tayari. Nikachukua simu nikamwambia asante.Remain Ever blessed nikaondoka.

Baada ya siku ile pale giraffe hotel wao waliondoka na mimi nilirudi nyumbani huku maumivu na mawazo tele yakiwa yamenijaa.Kwakweli uchungu niliokuwa nauhisi hakuna mfano wake. Nilisema moyoni sitakufa bali nitaishi nilishindwa kula nikanywa maji tu nikalala lakini sikupata usingizi kabisa.

Mpaka kwenye saa 4am usiku, Alwayz im in love wit slow songz i mean cul music ndo vitu vyangu.Dat day. Wimbo ni uncle sam - i don ever wanna see you again uliimba kwa pc mpaka asubuhi.

Mwezi mzima ulikua mchungu kwangu baada ya muda tulifunga chuo likizo ya christmas nlitamani kwenda mwanza kwa sisi nikatulize akili kwanza coz nilihisi haoa town ninaweza kukutana nao na mimi nataka nisahau lakini nilisema moyoni mimi ni mwanaume i must stay ni have to be strong. Nikikutana nao poa tu nawaface nilijikuta badala ya kuishi nilikua na survive.

Nilisurvive kibishi sana kwa kujikaza sana ndugu zangu friends walikua karbu sana nami but still t was taugh for me hope u know hw hard Tz.

Nilikuwa na card zake na picha zake na mambo mengi ya kumbukumbu zetu nlitaka niziteketeze kwa moto lakini nkasema ili nipone i must grow through it badala ya kuzichana na kuziteketeza nitaendelea kuziangalia iniumie zaidi huku nikizidi kujiaminisha huyu si wangu tena.

Niliona hii itanipa nguvu flani/ courage hata nkikutanae ntaweza kumface bila kushake coz always she z under ma pillow b4 i sleep everyday i look at her najikuta nawaza kidogo then i sleep.

Mwanzoni kufanya hivyo ilkua ngumu sana nikiangalia picha unakuta nashikwa na uchungu usioelezeka nlikua naimbia hyo picha angel nimekusamehe huku naumia sana wakati mwingine nilikua sipati usingizi.Lakini kwangu hiyo njia ni ngumu sana lakini niliona baadae itanisaidia nikija kumface niwe strong sio weak.

Hata nikisikia jina lake lina tajwa sehemu au anaongelewa ntakuwa nmekuwa strong na ninacourage ya kusikiliza au kumtazama face kwa face tukikutana.

Baada ya muda nlijikuta naanza kuwa normal b4 i sleep i look at her namwambia hello.Then i smile nalala. Nilipata nguvu sana hasa kwa hicho kitendo cha kuweka kumbukumbu zake karibu nakujilazimisha kukubaliana na matokeo au hali halisi hukunazi face kweli i thank god i grow through it.

Angel sikuwahi kumtafuta tena toka tumeachana. Dada ake na kakake waliendelea kunitafuta nikawa naongea nao kawaida tu coz wao hawajanikosea chochote sina sababu ya kuwachukia.

Ilikifika kipindi wakaniuliza tunaendeleaje hapo ni baada ya kama mwezi.Mwanzo walkua wakiniuliza nilikua nakwepa. Nikawa nawaambia muulizeni angel. Sasa sijui alkua anawaambia nini sikutaka kujua.

Ilifika kipindi niliona haina haja yakuficha nliwaambia ukweli.The whole story. Walitaka kuchanganyikiwa hasa kakake. Halo kama mwezi umepita.

Ila niliwaomba wasigombane nae ana uhuru wa kuchagua maisha anayo yahitaji na ana uhuru wa kuwa na mtu yeyote anaemtaka.

Lakini hapana aisee walimgombeza na kumuamshia sana mpaka Angel akanitafuta akaniuliza nimewaambia nini ndugu zake sikupokea simu wala sijujibu texts ikapita.

Mwezi wa 3 mwaka 2013. Angel alinitafuta siku moja saa 11pm piga simu sana tumatext sana.Lakini simjibu chochote. Nakumbuka alituma text hii "hello wise plz pick up the 4n or at list rply my texts kunakitu nataka kukuambia" nilichubua nikapotezea kabisa alipiga sana kesho yake text sana lakini sikuwahi kurespond hata siku moja. Nikaendelea na maisha yangu. Akanitafuta mpk akachoka.

Mwezi wa 8 dadake alikuja Bongo coz dadake huwa nachat nae watsup aliona Dp yangu nipo na mrembo flani hivi amazing.Sistake aAgel akamwambia naona wise mambo yake si mabaya. Kuona picha ile Dp ghafla alibadilika alikosa raha. According to her sister Kesho yake angel alianza kunitafuta kwa Watsup.

Nami buyu kama kawa sikuwahi kuongea chochote toka tumeachana kimyaa. Akanitext nafurahi umepata mtu wakunireplace akajibu. Alinitafuta mpaka akachoka sikuwahi kumjibu chchote.

Nikatupia picha nyingine kwa Dp bado nipo na yule mrembo. Ilimuuma akanitumia text hii. "nakuhakikishia huoi Tz" nikacheka sana sikujibu chochote.

Dadayake akamuombea msamaha sana nikamwambia sisster me nlishamsamehe kitambo akaomba turudiane nikaseama i cant. Siwez kabisa kakake nae akamuombea msamaiha jibu nilitoa lilelile.

Akamtumia bobbuno ma best friend. I can't turn back. Till today.Nimekaa kimyaa hatujaonana wala hajawahi kuona text au call yangu.

Ushauri wangu kwenu wana Jf: a fisher woman/man who doesn't know which port is for sailing no wind si favourable for her.

Have the courage u will never loose wot belong to you.

Respect



 
Ktk safari yq mahusiano ni lazima hayo yakutokee ili kukukomaza! Pole sana mkuu ingawa hujaelezea hata kidogo nn kilitokea mpaka kufikia hatua hiyo!

Ungegusia kidogo ulipoishia last time!
 
story kama hizi ili zipate wasomaji na wachangiaji wengi,kabla hamja zileta JF,muwe mnapima kwanza hali ya hewa ya wakati husika.kwa sasa kila pembe ya JF ni UKAWA/lowassa.ningekuwa mimi ningeileta after october 25th.acha nisepe zangu kabla sijatolewa mkuu na wana MMU. :smile-big:
 
Kama ilivyo darasani bila mtihani huendi darasa lingine hata ktk mahusiano kuna mitihani ya kukupandisha hatua inayofuaya.Umepanda hatua ila tegemea mitihani mingine migumu.
 
Ktk safari yq mahusiano ni lazima hayo yakutokee ili kukukomaza! Pole sana mkuu ingawa hujaelezea hata kidogo nn kilitokea mpaka kufikia hatua hiyo!

Ungegusia kidogo ulipoishia last time!

Unajua nnini . Nimeeleza tu kwa Ufupi coz watu walilalamika story ilkua ndefu Sana'a.. Lkn Kiukweli Kuna Mambo mengi sana yalitokea mpk Akarudi so Nimefupisha Sana.. Coz sikutaka niwakwaze Watu. But Thanks.
 
daah we jamaa umenfurahisha sana, wewe ndo unajua thamani yako kama mwanaume Wise Person
 
Last edited by a moderator:
Nmekupenda bure kweli weww ni wise,hongera umepitia misukosuko mingi lakini hukata tamaa.
 
baba kamba ni hy hy na yy sasa aumie km alizani kumuumiza mtu raha

Yeah men.. Dat de thing.. Anahangaika Sana Mpk Sasa.. Alizid kunisumbua sana tsup.. Nikam'block... Ndio alipata kichaa Saiv anatapatapa kama kanywe shwa Sumu.. Mpk leo natumiwa watu. Lkn nimekaa kimya tu. Kwake hiki ni zaid ya kitanzi. Bt I don care I've already Moved on wit ma life
 
kuna software inaitwa true caller idowload hy kisha mblock hata cm atakuwa hakupati na km umempata mwngn plz ucmuumize kwa kurudi kwa zamani
 
Kama ilivyo darasani bila mtihani huendi darasa lingine hata ktk mahusiano kuna mitihani ya kukupandisha hatua inayofuaya.Umepanda hatua ila tegemea mitihani mingine migumu.

Okay.. Bt I thank God atlist Nina Experience
 
Nmekupenda bure kweli weww ni wise,hongera umepitia misukosuko mingi lakini hukata tamaa.

Asante Sana.. Kukata tamaa ts a Symbol of Weakness. Le me encourage U hata katika Misukomisuko ipi ya Maisha unayopitia.. Never gv U.. Tomorrow z coming n still U Can Make t. Trust Me.
 
Asante Sana.. Kukata tamaa ts a Symbol of Weakness. Le me encourage U hata katika Misukomisuko ipi ya Maisha unayopitia.. Never gv U.. Tomorrow z coming n still U Can Make t. Trust Me.

Kwa kiasi fulani umenigusa sana,hakika sitakiwi kukata tamaa.
 
Poleni sana Bro Lkn relationship inakuwa ngumu sometimes that's y I decided To do away with it am now going To be a Catholic priest
 
kuna software inaitwa true caller idowload hy kisha mblock hata cm atakuwa hakupati na km umempata mwngn plz ucmuumize kwa kurudi kwa zamani

Hahahah! Yani huyo ni Basi tena. Sijui ninani Atanifanya nirudi kwa Angel au Atanishauri nirudi kwake nikubali. Labda Mungu tu. Bt hata Mungu sirahisi coz Ameshanipa Ufahamu na Ujuzi wakupambanua mambo na Nguvu yakufanya Maamuzi.. Inamaana hadi Mungu aniunga Mkono Maamuzi yangu.
 
Poleni sana Bro Lkn relationship inakuwa ngumu sometimes that's y I decided To do away with it am now going To be a Catholic priest

Asante Kaka.. Uamuzi wako si m'baya lkn chakujiuliza ni Are U sure that z your Calling. Unauhakika Mungu alikuita au alikuleta Duniani kwa Kazi hyo? Au nisehemu tu yakukwepea Changamoto za Mahusiano? if your Sure ts your calling.. Well n gud.. But if not.. Don rush kufanya Maamuzi kuhusu Mustakabali was Maisha yako.. Stay Calm n Find your Purpose here on Earth. Until U Discover it thenU will breakthrough. Na Utaishi Maisha ya Amani na Furaha sikuzote za Maisha yako coz U live in Your Purpose.
 
Konrad.. Nakubaliana na Wewe ila Mungu hajatuleta kubahatisha Maisha.. Kuna aliowaleta na kuwaita kama walimu, Wahubiri, Marubani, Madaktari n.k..wapo walioletwa na Purpose zinazo fanana n.k Kila MTU aliyeletwa Duniani. Mungu amemleta kwa kusudi lake. So U HV to find out Umeletwa kwa kusudi Gani? forinstance.. A Priest or A Doctor? Hujachelewa Find Out.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom