Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari Wana Jf.Natafuta Mke Wa Kuoa Sina Ubaguzi Wa Elimu,dn,rangi,kazi,wala Kabila,wote Mnakaribishwa.Lakini Naitaji Mwenyenyekevu Anaetambua Umhimu Wa Ndoa mwenye Umri 18-36.pia kwa sasa sina...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanaume mnapendaga nini kwa mwanamke? Mpikiwe chakula kizuri? "sex" ya kumaliza kiu yako au mfanyweje? Mana hata mpendweje hampendeki
2 Reactions
141 Replies
28K Views
Swali langu ni kwamba kila tukiwa na msuguano (fight) mume wangu huniomba tufanye sex ili tusawazishe mambo ,hata hivyo binafsi hujikuta nimekasirika bado na sina mood na yeye analalamika...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
naitwa joh Umri 20 Mkristo Kabila ni mnyaturu Naishi dar tabatasegerea Friend of lowasa/ukawa Mcheshi Mkweli Msafi Nina akili ya maisha Najua kuthamini Nahitaji kupendwa na binti awe na umri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari,natafuta My Eva Tutaekua Mme Na Mke Ktk Mahusiano Ya Muda Mrefu Ilitujuane Tabia Kisha Ndoa,karibuni sana awe tyr kuanza maisha.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
February, 2014 Ndani ya ndege. Shirika la Usafiri wa Anga Ethiopian Airlines. Maongezi ya Megan na mama yeke wakitokeya Lagos Nigeria walipoenda kuhudhuria ibada katika kanisa la...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waungwana, Mjumbe hauawi. Nina binamu yangu amabye ni binti mrembo tu, mweupe na umbo lenye afya,hivi karibuni alinidokeza kuwa anahitaji mtu aliye serious kwa mahusiano yatakayopelekea ndoa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Anayejua aniambie nini maana ya neno hili na kwa nini kabila hili liliamua kujiita hivyo. Huku kwetu kuna mfugaji mmoja wakisukuma hata wenyeji hasa wanawake wanaogopa kumwita kabila lake...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hivi ndugu zangu vijana wasasa tunaoana siku mbili tu tunaachana.SWALI:Je,ni kweli hivi sasa watu wanapendana au wanatamaniana tu.Maana ndoa hazidumu kabisa tofauti na wazee wetu.
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari wanaJf wazima wote? Ningependa kuuliza je kuishi na mwanamke/mwanaume kinyumba mkiwa hamjafunga ndoa ya kidini/kimila. Je, hii inahesabika ni ndoa au style hii ya maisha na inaitwaje...
2 Reactions
72 Replies
15K Views
Ndugu wana MMU, Nimepata msichana hapa Sengerema mtoto wa Kisukuma mzuri sana kuliko wote niliokutana nao. Nikasaka namba zake nikapata ndo tukaanza kuwasiliana. Kwa kuwa mimi ni mwalimu hapa...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Wakuu, Nimetokea kupatwa na hili tatizo limebadilisha mfumo wangu kwa watu ninaoingiliana nao nimekuwa navutiwa na jinsia ya kike kuliko kiume katika shughuli mbalimbali za kijamii. Msaada...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Wakuu ni kitambo sana kuingia humu naishia jukwaa la siasa tu leo nmeona nikupen hi! naamin mko poa kabisa na ujenzi wa Taifa have a nice w/end much lov u! wako Loyda
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Salaam wanajamii, Ni asubui tena tunamshukuru Mungu kwa ulinzi wake wa siku sita.Leo siku ya saba imetupasa kumshukuru kwa uhai aliotupa na kumwabudu kama alivo amuru hapo mwanzo baada ya uumbaji...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Nina mwaka wa nne sasa huku Zanzibar ila kuna kitu kinanisikitisha sana. Katika misele yangu kama kijana nimeshuhudia kiwango kubwa sana cha mabinti wenye umri mdogo wakiwa wameachika mbaya zaidi...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Jamani kuna jamaa yangu anaomba ushauri, yeye yupo mwaka wa tatu chuo kikuu cha Dar na mchumba wake kamaliza sasa kapata Scholarship ya kwenda kusoma China sasa je aendelee kumsubiri ama apige...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Wana Jf, Nina mpenzi wangu ambae nampenda sana nae anadai ananipenda lakini tunaweza kukaa hata mwezi m1 alafu nikimwambia namuitaji kimapenzi huwa anakataa kabisa anadai eti anaogopa hii...
1 Reactions
128 Replies
19K Views
Hivi ikatokea mtu ambae alikutoa bikira anarudi anakuomba mechi na unakuta umeolewa au una mpenzi wako. Je, utampa mechi au utamtolea nje? Zamani nlikua napata tetesi kua mwanamke ukimtoa bikira...
1 Reactions
165 Replies
23K Views
SIFA ZA MTAFUTA MCHUMBA >Mweusi >Mnene wastani >Urefu ni 158cm >Mkristo >Mtumishi wa serikali >Naishi morogoro >Umri 30 SIFA ZA MCHUMBA ANAYETAFUTWA >Mweupe wa asili au maji ya kunde >Umbo la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
natafuta rafiki wa kike, asizidi miaka 27 asipungue miaka 23, awe mkristo mwenye hofu ya Mungu ndani yake, itapendeza kama atakuwa mikoa ya DSM, pwani au Moro, awe na mtizamo chanya wa kimaisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…