man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 463
- 319
Natumaini mnaendelea vema kutumikia vema weekend zenu watu wanguvu mimi pia nasongesha muda taratibu hapa huku natizama movie inaitwa 12 years of slaves kwambali namwona mwanadada rupita nyong'o mshindi wa tuzo ya Osca mwenye mwonekano wa kuvutia.
Tukiludi kwenye mada Baada ya kuachana na mpenzi wangu nikaona sio mbaya nitafute mrembo mwingine hasijedhani bila yeye maisha hayasongi.Nikajichanganya mjini kati nikafahamiana na binti flani nikaanza nae mazoea(kwa kawaida huwa sitongozi mambo yanajiset yenyewe) tumeendelea na mawasiliano ghafla nikimcheck hewani anakua hatoi ushirikiano wa kutosha tukikutana njiani anakua hana mwonekano wa kunichangamkia nikaona nikae kimya anaanza kunitafuta nikianza kuitaji kuwa nae karibu anakuwa katika hali ile ile ya kutonichangamkia
Jana nimempigia simu akapokea mwanaume nikakata tukaanza kuchat sms tukakubaliana tukutane leo sehemu flan maeneo ya jirani nina wasiwasi na huyu dada wakuu au wanataka wanikabe nini?