Mambo vipi wadau wangu wa MMU nahisi mko poa huku mkiendelea na majukumu.
Kama ilivyo ada karibuni tujadili swali hili maana hadi sasa napatwa na mashaka isijekuwa majibu ya swali ndio yaliniponza .
Kwa kweli kuna binti nilikuwa nae karibu alinizoea sana na alipenda mda wote tuwe pamoja tunapiga story tu za hapa na pale na kweli nilimpenda kwa moyo wangu wote nikaamua kidume acha nisipoteze muda nimueleze tu ya moyoni kwa kweli kila jinsi ambavyo naongea alionekana kuwa na bashasha sana na nilikushaona dalili nyingi za kukubaliwa ila mabadiliko na kupoteza matumaini ilikuwa pale aliponiuliza ( hivi ulishawahi kuwa na mwanamke mwingine kabla?).
Kwa haraka haraka nilishindwa nimjibu vipi, ila nikaona tu bora nimwambie ukweli nikajibu "ndiyo" baada ya hapo ile bashasha yote nilimuona inaanza kutoweka na akaniongeza na swali jengine kwanini mmeachana?
Baada ya swali hilo ndio nikajihisi nanyong'onyea kabisa ila halafu yake kanikubalia lakini mahusiano hayakudumu!
Ma Expert wa maswala ya mapenzi hivi hapa alikuwa anamaanisha nini?
Nawasilisha!