nkondola amon
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 365
- 65
Habari za mapumziko wanajamvi!samahani nina kitu ambacho ningeomba ushauri,nina rafiki yangu wa kike nilimpata pindi tupo chuo kabla ya hapo alikuwa na mchizi wake ambaye aliachana nae baada ya jamaa kuwa dictator wa malovee akajigonga kwangu nikajishebedua nae mtto mpaka tumemaliza yeye anakaa moshi me dar kipnd tupe close in love tukawasiliana na wazazi wetu kila mmoja bahati nzur rafiki yangu amebahatika kula shavu bank moja dah yaani mwanzon kila akitoka job ananishtua tunabonga fuuureesh dah kadri cku zinavyoenda imekuwa co aisee anatumia namba nyngne ya cm bila kunijulisha nikimuuliza anasema nalalamika sana zile cm za me ndo natoka job hazipo usipomshtua wewe bac ukimuuliza anasema yupo busy na kazi anachoka sana,wadau nisaidie nifanye nn hapa coz naweza kumbwaga kumbe anachokisema ni kwel cjafanya uchunguz bado kama kuna mchepuko afu pia kuna mdada ameonyesha interest ya kuwa na mm ila nilimuambia nipo kwny uhusiano na mtu!ushauri wenu PLZ MATUSI HAYARUHUSIWI