Je ni halali unakuwa na mke ndani halafu anakupangia masharti ya kugegeda wakati mahari yote umelipa? Kilasiku oh nimechoka, ukitaka kuforce anabana miguu, yaani hadi upewe mzigo ni kama vile...
Kibongo bongo tumezoea mtu anapotaka kufunga ndoa lazima ipitishwe michango ya kutosha ili kuweza kufanikisha sherehe, na pia mchango wako ndio huwa kiingilio chako yaani bila kuchanga hupati...
Jamani kuna umuhimu wowote simu za wapenzi wawili kuwana na password? let say mke na mme au mtu na mchumba wake wanaulazimu wa kuweka password?
Habarini wana JamiiForums, heri ya Mwaka mpya...
Za leo wanajamvi. Kumekuwepo na maswali mengi kutoka kwa wanawake kwamba wanaume huangalia vitu gani kwa mwanamke ili kufanya maamuzi ya ndoa.
Nimeona niwashirikishe makala hii niliyoipata gazeti...
Mambo naje wanaume wenzangu?
Mtu ushamwambia ishi bila kumung'unya maneno kuwa humtaki tena, ushamfanyia vituko vya kila aina ili akupotezee, lakini bado tu kakuganda na ndio kwanza yeye...
Ndugu wanaJF,
Mimi nipo kwenye ndoa kwa miaka nane (8) sasa. Ndoa yangu inafuraha na amani sana ingawa hapo nyuma tumewahi kuwa na misukosuko sana hadi kushitakiana kwa wakwe zangu/zetu.
Sababu...
Mambo vipi wadau wangu wa MMU nahisi mko poa huku mkiendelea na majukumu.
Kama ilivyo ada karibuni tujadili swali hili maana hadi sasa napatwa na mashaka isijekuwa majibu ya swali ndio...
NI kwa nini UTUPU wa mtoto wa KIUME hamuuthami jamani?
Yaani utakuta katoto ka kiume kanadhurura tu uchi hata nguo hakajavalishwa,
Lakini mtoto wa KIKE {THUBUTUUU!!! hata nje hagusi. Hivi ni kwa...
Habari za mapumziko wanajamvi!samahani nina kitu ambacho ningeomba ushauri,nina rafiki yangu wa kike nilimpata pindi tupo chuo kabla ya hapo alikuwa na mchizi wake ambaye aliachana nae baada ya...
Habarini,
Kwa kauchunguzi kangu kadogo nlichofanya nimegundua kuwa wanawake wengi kama sio wote wana options nyingi za kupata sex, ukilinganisha na sisi wanaume.
Kwasababu hebu fikiria utakuta...
Natumaini mnaendelea vema kutumikia vema weekend zenu watu wanguvu mimi pia nasongesha muda taratibu hapa huku natizama movie inaitwa 12 years of slaves kwambali namwona mwanadada rupita nyong'o...
BY DAYAN MASINDE ·
1. The complaining type
Are you constantly whining and discontent? Do you make it so hard for your man to please you? Lady relax, you will never be happy in life if you pay...
@ Hii Clip imerekodiwa na jamaa akimgegeda mpenzi wake kule Kenya.
Baada ya kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, wanawake wanadai huo ni ubakaji na jamaa anatakiwa achukuliwe hatua.
Msichana...
Mapema leo asubuhi (August 23rd, 2015) Maelfu ya wanawake kwa wanaume katikamajiji takriban 60 duniani yakiwemo majiji ya New York, Paris, Montreal na SoulKorea wanawake kwa wanaume walifanya...
Habari za wakati huu wana Jukwaa
Kuna siku moja nilimpigia mama mkwe kwa lengo la kumsalimia na kumjulia hari
Hiyo huwa ni kawaida yangu kuwasalimia wakwe zangu,baada ya salam za hapa na...
Wana JF Hola!
Ni takribani siku chache tangu nitoe ule uzi "mpenzi wangu anapenda ninavyo vuta sigara" baada ya kumuonyesha ushauri, ulioambatana na vitu vya kuogopesha, mpenzi wangu...
Habari wakuu.
Mpenzi wangu wa collage juzi alinijia huku akilia kwa uchungu na kuniambia "nimetumia pesa yangu yote ya matumizi katika abortion na sasa sina pesa".
Kwa mahaba nikamfuta machozi...
Jaman ni muda sasa niko mbali na home na sitaki mzungu mimi! Pls naomba msichani aliye ndani ya Schengen countries hasa hasa sweden, Norway au Denmark na ufaransa tutafutane angalau tupeane mawazo...