Kuna wanawake/wanaume wanajua kumganda mtu

Kuna wanawake/wanaume wanajua kumganda mtu

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,073
Reaction score
16,638
Mambo naje wanaume wenzangu?

Mtu ushamwambia ishi bila kumung'unya maneno kuwa humtaki tena, ushamfanyia vituko vya kila aina ili akupotezee, lakini bado tu kakuganda na ndio kwanza yeye anazidisha mapenzi kwako kila uchwao.

Hivi nyie wanaume wenzangu situation kama hii huwa mnaimaliza vipi?
 
Mbona hata ninyi?
She is not a fighter but she fight for what she loves. Over...
 
Wewe Kama mdogo wangu, ushauri
nipe namba yake nimpe ilimu!
 
huku ni kupendwa au kukerwa?

Ulimtafuta wa nini? Ndo wengine hawakubali kuachia ngazi wakiamini uvumilivu wao utazaa matunda which is WRONG for that case. Umwambie kistaarabu ukitanguliza kumuomba msamaha
 
Ktk Mapenzi mtu haachwi ghafla kama kazi/biashara. Ni Gradual processs, Taratiiiiibu unapunguza mawasiliano hadiii anaaanza kukupotezea,eg. kama ulikuwa unamtoa kwa laki laki, basi unaaza 70,50,40,30,hadi Jero. Na kama unamtoa every weekend basi ni wkend moja ya mwezi, then Jumatano, then monday...
na kama Unajituma ktk 6X6 kwa kwenda 5,unapunguza 3,2, 1, 0 baada ya miezi 3, Anakuona una deal anakupotezea.
Vinginevyo unaweza poteza Maisha yako na Yake,au ukatiwa HAsara or kilema cha maisha.
Mapenzi ni Hatari kuliko Vita
 
Ukishapata nungayembe lisiloshikika, lisiloprndeka wala kubembelezeka, utakufaaa, utaoooza, akili yako ikikosa utulivu ndio dawa itakuingia vizuri na utamkumbuka huyu Kinganganizi ila itakuwa too LATE
 
tang'ana

Labda nikuulize swali dogo,
Je mmeshashiriki tendo takatifu la kuumba watoto (namaanisha NGONO),
kama jibu ni NDIYO kwanini unataka kumpotezea baada ya hilo tendo? Ungekuwa humpendi usinge mgusa kabisa. Over
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom