Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekuwa katika mapenzi na bint mmoja yapata mwaka mmoja na nusu sasa na mara ya mwisho nimeachana naye mwezi 5 nilpokuja kwenye ajira mpya na ndo ukawa mwisho wa kusex isipokuwa mwenzangu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Source;Mzee wa Sumo. Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo. Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake akasema " Unadhani familia yako ina...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ushauri kwa ambao bado hawajaoa. Angalia mke wa future katika maisha. Usiangalie mambo ya urembo yapo tu hayaishi. Ni ushauri
0 Reactions
60 Replies
8K Views
by Clint Edwards Right now, my son, Tristan, is seven years old. Even at this young age, I think a lot about what kind of husband he will make. I think about his future, and if I’m setting a...
8 Reactions
53 Replies
4K Views
Ni umemtokea msichana kwa lengo la kumchumbia pamoja na maswali mengi atakayo kuuliza, swali la kazi gani unafanya kuna ulazima wa kumdanganya kama kazi yenyewe inadharaulika kwenye jamii na...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
Et ni kwel kwamba ukipenda mara ya kwanza ndo upendo wa kwel.,na kama ikitokea mmeacha na yule uliyempenda mara ya kwanza ukampenda mwingine je huo una kuwa ni upendo wa kweli au ni maigizo tu.?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wananawake ni wepesi wa kudanganywa na wakasamehe. https://youtu.be/CfdlIMlPmuA
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi ni ukatili au tuuiteje? Unakuta mwanaume amezaa na mtu watoto/mtoto kuwatunza hataki halafu Mwanamke ndio anaenyeka mwenyewe kulea halafu baadae yule mwanaume anakuja kujipendekeza watoto...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Ni jamaa yangu wa karibu sana mke anasikiliza sana marafiki zake wa nje, mtu wa hasira muda wote, asiyekuwa tayari kukosolewa na kujirekebisha, anawaambia pia rafiki zake kuwa kama nyumbani hapana...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wana Jamvi hili nadhani mko poa. Nikupeni story kwa ufupi nimekutana na mdada mzuri sana 6/9/2015 akanisimamisha nimpatie lift nikasimama na kupatia lift katika gari safari ilikua ndefu...
3 Reactions
69 Replies
10K Views
Jamani naomba wataalamu na mlojaliwa hekima mnisaidie walau niishike basi, maana naona nyota nahisi mpaka mwisho naweza kupata tano.
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Nimekuwa Na Marafiki Wa Kiume Weng Zaid Kuliko Wa Kike, So Now I Want To Equalize. 0672117117
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni muda sasa nimeamua kukaa bila mtu najiona nina amani na mwenye furaha kuliko napokua busy na mtu, sijui kama kuna madhara ya afya, ila nina amani na utulivu kuliko.
6 Reactions
160 Replies
13K Views
Oooo wazee hawawezi kazi ooo zimerojoleka. Haya mie wangu ana 60. Karudi jana saa 6 usiku mie nimelala chaliii nimenyanyua miguu tu,mpaka saa 8 tukalala. Saa 11 kasoro kaamka tena anapapasa haaa...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Wasalam wana jamvi, Sina mengi ila kuwatahadharisha kuwa makini na mwanamke ambae hawezi kuishi pekeake lau kwa muda mfupi bila kuwa na mahusiano yakimapenzi! Yaani kama ni dmsichana wako halafu...
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Kuna msichaa ni mzuri kimaumbile siku moja nikamuaproach alipokubali tukapanga siku ya kula mzigo nikajiandaa kisawasawa. Wakati wa kumega tunda mpenzi alipofika kwenye climax akaanza kula godoro...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Hi to all wana JF, heshima kwenu wanajamvi, i have been single for quite long time now and i came to realize that now its the right time for me to find someone who will be my future father of my...
1 Reactions
173 Replies
31K Views
Wapendwa za leo, Kuna dada mmoja hapa mtaani kwetu aliolewa na jamaa wa hapa hapa mtaani akitokea Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Binti huyu mzuri wa sura na shepu aliolewa kwa taratibu zote za kimila...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari msomaji wa uzi huu. Ni siku nyingine tena enye baraka za Mwenyezi Mungu tumekutana jukwaani kujadili kwa pamoja mambo mbalimbali katika jamii yetu. Niingie kwenye mada. Kwa ufupi cheti...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari za mihangaiko wanajamii, Katika Maisha wanadamu tunatofautiana utu,binadamu n.a. kadhalika,ndio maana kuna wengine wanaoona ni sawa hata kuwakataa watoto wa uzao wa damu.Wengine hawana...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom