Ogopa sana mwanamke mwenye tabia hii

Ogopa sana mwanamke mwenye tabia hii

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,744
Reaction score
3,546
Wasalam wana jamvi,

Sina mengi ila kuwatahadharisha kuwa makini na mwanamke ambae hawezi kuishi pekeake lau kwa muda mfupi bila kuwa na mahusiano yakimapenzi! Yaani kama ni dmsichana wako halafu manapokuwa manakwazana kidogo ukamsikia anasema"Sasa nitaishije pekeangu? Mwenzio me ishiwezi ishi pekeangu!"

Akiwa naongea neno hilo serious basi ujue huyo dem hafai sababu mara nyingi wasichana kama hao huwa wametawaliwa na woga wa kupigwa chini,so ili kujihami basi atakuwa na mabwana si chini ya watatu! Tambua kuwa ukiwa mtu wa safari za mara kwa mara haliyakuwa unaishi na msichana au mke kama huyu basi hesabu maumivu ya kuchapiwa.

Binafsi yameshawahi kunikuta kama hayo ndio nilipogundua kuwa kumbe alikuwa anamaanisha kweli kuwa hawezi ishi bila kuwa na bwana baada yakugundua kuwa anatupanga zaidi ya wanne.

Shukran!
 
Ndio hivyo mkuu,mara nyingi madem kama hawa huwa hawana sifa ya kukata tamaa ktk kutafuta mabwana,yaani hata wakiumizwa kwa kusalitiwa huwa hawasemi wa "Nimechoka jamani me na mapenzi baasi!"Yan wao wanaamini faraja yao inatoka kwa wanaume tu!
Point taken
 
Akisema hawezi kuishi bila kuwa nawe atakuwa anakudanganyu huyo!Anatakiwa akuambie kuwa hawezi kuishi bila kuwa na mwanaume kwakuwa ndio sifa yao!Ila kuna baadhi wao hawana tabia hiyo so si ajabu akawa anamaanisha kweli kama anakupenda kweli!
Na vipi akisema hawezi kuishi bila ya kuwa na wew
 
usikariri.... Kwan kuna wanawake wasio banjuliwa hovyo sku hizi?

Akili za wana Ukawa utazitambua kwa mifano kama yako,,
 
Akisema hawezi kuishi bila kuwa nawe atakuwa anakudanganyu huyo!Anatakiwa akuambie kuwa hawezi kuishi bila kuwa na mwanaume kwakuwa ndio sifa yao!Ila kuna baadhi wao hawana tabia hiyo so si ajabu akawa anamaanisha kweli kama anakupenda kweli!

Hahahah mkuu mapenzi ni sanaa kwahiyo ni kuchukulia kama unangalia maigizo
 
Wanawake wengi wanajitoa sana kimapenzi, wako wanaosema hivyo wakimaanisha kabisa na wapo wajanja wanaocheza na biti. . . . .Kama kila ukichukia unatishia kuacha basi hilo jibu ni mujjarab kabisa ili uendelee kuvimba kichwa!!!!
 
Duh! Kweli we ni mgirik!Hii mada na ukawa wapi nawap?
usikariri.... Kwan kuna wanawake wasio banjuliwa hovyo sku hizi?

Akili za wana Ukawa utazitambua kwa mifano kama yako,,
 
usikariri.... Kwan kuna wanawake wasio banjuliwa hovyo sku hizi?

Akili za wana Ukawa utazitambua kwa mifano kama yako,,
akili yako imejaa maji aisee nenda kapime. sa ukawa na hii mada wapi na wapi? ukawa inakukosesha usingizi ehh.
 
akili yako imejaa maji aisee nenda kapime. sa ukawa na hii mada wapi na wapi? ukawa inakukosesha usingizi ehh.

tulia ww mtoto.. Wanaume wanapojadili maada watoto mnatakiwa mkae mbali
 


Binafsi yameshawahi kunikuta kama hayo ndio nilipogundua kuwa kumbe alikuwa anamaanisha kweli kuwa hawezi ishi bila kuwa na bwana baada yakugundua kuwa anatupanga zaidi ya wanne.

Shukran!

Huyo alikuwa mkeo mkuu?
 
Back
Top Bottom