Umuhimu wa cheti cha ndoa

Umuhimu wa cheti cha ndoa

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
331
Reaction score
99
Habari msomaji wa uzi huu.

Ni siku nyingine tena enye baraka za Mwenyezi Mungu tumekutana jukwaani kujadili kwa pamoja mambo mbalimbali katika jamii yetu.

Niingie kwenye mada.

Kwa ufupi cheti cha ndoa ni muhimu sana pale wawili mume na mke wanapooana. Je! swali;

Kama mlifunga ndoa ya serikali na kupewa cheti cha ndoa kuna uwezekano wa kubariki ndoa hii kanisani?

Karibuni wadau.
 
Inategemea na Kanisa ambalo unakwenda kubariki ndoa hiyo. Uliza viongozi wa kanisa lako kwa ufafanuzi zaid!
 
umuhimu upo cz cha sirikali hakitambuliki kanisani lkn cha kanisani kinatambulika kanisani
 
chet cha ndoa cha serikal hakitambulik kanisan kwa hyo unauwez wa kubarik ndoa yako kanisan
 
chet cha ndoa cha serikal hakitambulik kanisan kwa hyo unauwez wa kubarik ndoa yako kanisan

Hakuna cheti cha ndoa cha Kanisa na cha serikali. Vyeti vyote vya ndoa ni za serikali, sema unaweza kuipata Kanisani au bomani.
 
Hakuna cheti cha ndoa ni vyeti vya ndoa maana kila mtu anapewa chake japo wanasema ni mwili mmoja
 
Kubariki ndoa kanisani baada ya kuwa na cheti cha ndoa inawezekana ila tu ikiwa cheti hicho cha ndoa ulikipata kihali kwa maana ya kufungishwa ndoa na mtu aliye na kibali cha ufungishaji ndoa toka RITA.

Pili usiwe wewe au mwenzi wako mna ndoa nyingine zaidi ya hiyo moja (Au kuishi kinyumba na mtu mwingine). Tatu mtambue kwamba hamtapatiwa vyeti vingine isipokuwa mlivyonavyo vitaingizwa kwenye kumbukumbu za ndoa za kanisa husika.

Cheti cha ndoa kina maana sana katika sehemu ya utunzaji na uthibitisho wa taarifa.
 
Back
Top Bottom