Wapendwa za leo,
Kuna dada mmoja hapa mtaani kwetu aliolewa na jamaa wa hapa hapa mtaani akitokea Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Binti huyu mzuri wa sura na shepu aliolewa kwa taratibu zote za kimila...
Habari msomaji wa uzi huu.
Ni siku nyingine tena enye baraka za Mwenyezi Mungu tumekutana jukwaani kujadili kwa pamoja mambo mbalimbali katika jamii yetu.
Niingie kwenye mada.
Kwa ufupi cheti...
Habari za mihangaiko wanajamii,
Katika Maisha wanadamu tunatofautiana utu,binadamu n.a. kadhalika,ndio maana kuna wengine wanaoona ni sawa hata kuwakataa watoto wa uzao wa damu.Wengine hawana...
Nikiwa na stress za kuibiwa vitu vya ndani vyote na mpenzi wangu, nikaona isiwe shida nikampanga dada wa kazi wa jirani tukutane jioni ya jana lodge iliyoko karibu na ninakoishi.
Mwanaume...
Kama unapenda na unajali basi hutajua ni kwanini inakutokea hivyo that's Love:
Lakini ikiwa unajua kwanini unapenda kitu au mtu fulani that's Like:
Kuna kitu ambacho kinakuvutia au kuna mtu...
Habari wana JF and great thinkers,
Mimi nimmoja wa hiyo nyota hapo juu, ila najaribu kufatilia sifa za hiyo nyota kwa mwanaume huwa wanaendana na kazi zipi na mwanamke wa aina gani huendana nae...
Natafuta rafiki wa kike ambaye tutashilikiana na na kusaidiana mambo mbalimbali, mrembo huyu ni vizuri asiwe mke wa tu lakini awe na mpenzi mmoja yani mimi niwe wa pili, alafu ni vizuri...
Juzi jumanne baada ya Dk slaa kuongea, jioni yake nilipitiliza moja kwa moja Bar kutokana na kuchanganyikiwa, hiyo ilikua ni baada ya kutoka kazini jioni.
Tulikua wakereketwa wawili tulioamua...
Wana MMU habari zenu,
Mimi kwa kweli tangu nimeanza mapenzi nimeshatoka na wasichana wengi kidogo na wamekuwa wengi kwa saba kila ninapodate na mtu lazima awe na mwenza wake kwa security matters...
Eeeh Mungu! wenye nia njema na wanione ili wanistiri na mimi!!!!
Napenda kwanza kutoa salaam kwenu nyote.
Jamani nimekuja hapa mbele yenu kwa lengo la kutafuta mwenza ili tustiriane. Najua huwa...
Heshima kwenu.
Inakuwaje mwanamke anadhubutu kumvulia nguo mwanaume mwingine tofauti na yule ambaye yupo naye. Hii inatuumiza sana sisi romantic gentleman's because tukipenda ni bhasi and...
Habari zenu wana JF, mko poa?
Kwa kweli nilikuwa na mpenzi wangu na nilimpenda sana ila kutokana na sababu tofautu tofauti nikamwagana nae kwa wale wadau wangu watakuwa wameshaelewa kwanini...
Habari wakuu,
Kuna kitu leo kimenishitua kidogo kuna binti mmoja tuko naye mtaa mmoja na tunaabudu Kanisa moja kuonana kwetu huwa ni kanisani japo tulikuwa tunaangaliana tu hakuna mtu aliyekuwa...
Hellow wapendwa wangu,
Leo tukumbushiane kuhusu heshima.Mwanamke/mwanaume unataka kuheshimiwa jiheshimu.
A real woman of virtue need to have class. Being all trashy,nasty,wild and rude with your...
Je ni halali unakuwa na mke ndani halafu anakupangia masharti ya kugegeda wakati mahari yote umelipa? Kilasiku oh nimechoka, ukitaka kuforce anabana miguu, yaani hadi upewe mzigo ni kama vile...
Kibongo bongo tumezoea mtu anapotaka kufunga ndoa lazima ipitishwe michango ya kutosha ili kuweza kufanikisha sherehe, na pia mchango wako ndio huwa kiingilio chako yaani bila kuchanga hupati...
Jamani kuna umuhimu wowote simu za wapenzi wawili kuwana na password? let say mke na mme au mtu na mchumba wake wanaulazimu wa kuweka password?
Habarini wana JamiiForums, heri ya Mwaka mpya...
Za leo wanajamvi. Kumekuwepo na maswali mengi kutoka kwa wanawake kwamba wanaume huangalia vitu gani kwa mwanamke ili kufanya maamuzi ya ndoa.
Nimeona niwashirikishe makala hii niliyoipata gazeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.