Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natumaini wote mupo poa humu ndani,hivi majuzi kuna ndugu yangu mmoja kanitaka ushauri,kuwa ana rafiki yake wa kike ambaye yeye mme anampenda sana ila huyu bibie haeleweki,hasa ktk kuwa wazi kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
nna mchumba kaniambia nibadili din mi ni RC Ye mlokole kiukweli nampenda.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari, Natafuta mwanamke wa kuoa mwakani,elimu yangu ni shahada ya biashara (uhasibu),naishi Dar umri wangu ni miaka 31.nimtakae awe na miaka 25-33,awe mweupe,asiwe na mtoto,elim shahada,mwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana MMU, Ni siku nyingi sana sijaposti kitu hapa jamvini, Nadhani majukumu yamekuwa mengi sana. Sasa twende kwenye lililonileta hapa, nina rafiki yangu wa karibu sana, wazungu...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Shikamooni wadau, Mi kijana wenu nahitaji mwanamke ambaye atakua mjasiriamali,mchakarikaji kama mimi na awe mzuri na mcheshi na asizidi 30, mimi ni mwanafunzi wa Chuo pia Mjasiriamali mdogo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salama wakuu Rafiki huyu nilichakarika sana wakati wa shuhuri ya ndoa yake! Nilijitolea sana kwa sababu tumesaidiana mengi, kujulikana kwangu kwa jamii ninayo ishi nayo kulirahisisha mimi...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Hello everyone. Few months ago nilijitokeza hapa nikitafuta mchumba mwenye sifa nilizozitaja hapo lakn walijitokeza watu ambao waliniletea utani mwingi na hatimaye nilikata tamaa lakin kwa sasa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hellows, Jana nikasikia kitu that made me wonder kdogo abt a certain relationship (ikanibidi niite the so-called)..sasa jamaa kafuatilia kabinti ka watu hadi kakapigika sound. They barely meet...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajf? Wazima wote, Mimi ni mdada nimeolewa na nina mtoto mmoja tatizo sahivi nina ujauzito mwingine na mume wangu ananidharau sana. Kwanza mimba inanisumbua sana maana ni changa yani...
4 Reactions
95 Replies
20K Views
alionyesha mapenzi mwanzoni tu,alipozaa kahamishia mapenzi kwa mtoto ake,kwa mwezi ananipa game mara mbili tena kwa kulazimisha,maji ya kuoga chakula vyote ananipa house girl,akirudi kazini yeye...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari zenu wanaJF, Kwakweli nimewamis sana! Ila tuko pamoja! Kwa bahati mbaya au nzuri mimi ndiye mtoto wa kiume pekee nikiwa mtoto wa tatu kati ya watoto wanne, wenzangu wote ni wa kike...
1 Reactions
63 Replies
10K Views
Nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wa marehemu rafiki yangu kwa mwaka wa tatu sasa tangu mume wa huyo dada afariki. Familia zetu ziko karibu sana nami nina mke na watoto wawili na huyu...
1 Reactions
73 Replies
12K Views
Habari wanaJf, Je, ni kweli wanawake wengi wanapenda rough sex kwa maana kwamba ukiingia kwenye geme ni ku do ile mbaya kwa kasi na kwa nguvu zako zote? Siyo ile ya kufanya mapenzi kisharobalo...
0 Reactions
73 Replies
18K Views
Nipo dar natafuta marafiki
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi, Labda nianze kwa kusema yamenifika hapaa! Mimi ni graduate wa moja ya business related courses katika moja ya vyuo hapa nchini.Nimewahi kuwa na girlfriend wakati wangu wa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habarini wenzangu, Jamani mimi nimekutana na maswaibu makubwa sana hata sijajua namna ya kuyasuluhisha ndani ya moyo wangu.Nimekuwa nikisumbuana na mume wangu muda mrefu tokea tunaoana ila...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Wanajamvi habarini za weekend? Kwa uzoefu wangu wa miaka mingi na kupitia.majarida mbali mbali, ni maoni yangu kuwa wanawake walioko kwenye 30s kimapenzi: 1.ni wazoefu maana wameshapitia mengi...
48 Reactions
555 Replies
44K Views
Hamjambo na karibu tena katika Jukwaa hili Huru kuhusu Masuala ya Mahusiano. Natafuta mpenzi tutaeishi nae kwa mkataba. (1)Mkataba usiozidi kipindi cha miezi kumi na mbili au chini ya hapo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nikiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu mwingine,niameamua kwa nia moja kutoa ombi langu hapa,kwa madhumu ya kutafuta MKE WA MAISHA,ninatafuta MWANAMKE ambaye mwenye shida tu ya kuitaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KIJANA AMBAYE HAJAOA (I) Huwa anampenda sana mama yake, mama yake ndio anakuwa first class, endapo mama yake anaumwa na mchumba wake anaumwa basi atampeleka mama yake hospitali kwanza kabla ya...
2 Reactions
88 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…